Hizi ndio Scania zaidi ya 20 za kisasa walizonunua Kampuni ya Azam

Hizi ndio Scania zaidi ya 20 za kisasa walizonunua Kampuni ya Azam

Huu Mjadala huwa ni Mzito sana, ila kiukweli bloangu Mwamedi ni Msanii tu wa kucheza na Media ila hagusi kwa Mzee!
Mo ni bingwa wa retail na pesa za harakaharaka. Products zake nyingi hazikai muda mrefu sokoni.

Na bidhaa nyingine huwa anakopi zozote zinazofanya vizuri ikiwemo za Azam.

Ila Azam huwa hawakurupuki, wakija na kitu kipya kinakuwepo sana.
 
Kilimo ndo nambee one
Kweli ila gharama za uendeshaji na uhifadhi ni gharama huku kwingine gharama ya uendeshaji ni nafuu kidogo japo mo yeye ndio anaongoza kwenye kilimo ukilinganisha na washindani wake
 
Mo ni bingwa wa retail na pesa za harakaharaka. Products zake nyingi hazikai muda mrefu sokoni.

Na bidhaa nyingine huwa anakopi zozote zinazofanya vizuri ikiwemo za Azam.

Ila Azam huwa hawakurupuki, wakija na kitu kipya kinakuwepo sana.
Mkuu Scania kama hizo moja ni shilingi ngapi kabla ya ushuru. Na ushuru wake ni shilingi ngapi?
 
Hii ina akisi hali ya matumaini katika sekta ya biashara nchini Tanzania kwa sasa

Hizi gari zitakwenda kupita kwenye barabara zetu hizi hizi na za huku kuliko sahauliwa kabisa?

Hizi gari zitakwenda kupita kwenye barabara zetu hizi hizi na za huku kuliko sahauliwa kabisa?

Hapana, zitapita kwenye barabara za njia 8 Kimara hadi Kiluvya
 
Back
Top Bottom