Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Mkuu Mo, anazo Scania labda kwakuwa ni matoleo ya nyuma. Kwenye kampuni zake kama Gleinrich na Maisha Transportation ana Scania,Daf XF/CF, Mercedes Benz Actros na hizo brand mbalimbali za kichina.Nimefanya kazi na moja ya kampuni za mwamedi, yule jamaa nasikia amewekeza kwenye nchi za Africa zaidi ya 30. Na makampuni kama 38 hv ndani na nje ya bongo. Hizo gari za mizigo analeta kwa makundi ya 100 mia. Mfano magari 300 au 500 n.k.
Ila hana Scania hata 1 ! Siri ya nyuma ya pazia ni kuwa, Bakhresa hufanya biashara ya magari pia. Ananunua jipya then akitumia miaka 10 analiuza. Kitu ambacho ni tofauti na mwamedi.