Hizi ndio Scania zaidi ya 20 za kisasa walizonunua Kampuni ya Azam

Hizi ndio Scania zaidi ya 20 za kisasa walizonunua Kampuni ya Azam

Hapana, zitapita kwenye barabara za njia 8 Kimara hadi Kiluvya

Kwa kweli tanroads mngali na kazi kubwa sana. Jitihada zenu za kujikita zaidi kwenye mabarabara na madaraja kwa vitendo kwa siku hizi za karibuni, tunazitambua.

Asalimike mhandisi Mfugale untouchable wa awamu ya tano kokote kule aliko.

Hiiiiii bagosha!
 
Kasome Profile ya METL na AZAM Google...muna babika na gari mpya 20 ambazo tukizipendelea kilamoja tukasema inthmni ya 1B sawa na Billion 20 pesa haitoshi hata kiwanda kimoja.
Kama unahitaji huo Mjadala njoo na data, ukisema swala la Viwanda bado huyo Mo hagusi, hizo Scania ni Mpya Ila unajuwa anazo Benz ngapi ambazo zipo barabarani?
Umeshawahi kuona gari anazotumia bloangu Mwamedi kusambaza bidhaa zake Mikoani?
 
Mbona side mirrors zimo mkuu! Au macho yangu mabovu...
Hebu niyafikiche kwanza then narudi.
1619873919896.png
 
Niliziona kwa blue coast zile zinazobeba makaa ya mawe from Mbinga to Tanga
 
Insurance, mawasiliano mtu wa kati logistics na sehemu nyingine
Nimefanya kazi na moja ya kampuni za mwamedi, yule jamaa nasikia amewekeza kwenye nchi za Africa zaidi ya 30. Na makampuni kama 38 hv ndani na nje ya bongo. Hizo gari za mizigo analeta kwa makundi ya 100 mia. Mfano magari 300 au 500 n.k.

Ila hana Scania hata 1! Siri ya nyuma ya pazia ni kuwa, Bakhresa hufanya biashara ya magari pia. Ananunua jipya then akitumia miaka 10 analiuza. Kitu ambacho ni tofauti na mwamedi.
 
Nimefanya kazi na moja ya kampuni za mwamedi, yule jamaa nasikia amewekeza kwenye nchi za Africa zaidi ya 30. Na makampuni kama 38 hv ndani na nje ya bongo. Hizo gari za mizigo analeta kwa makundi ya 100 mia. Mfano magari 300 au 500 n.k.
Ila hana Scania hata 1 ! Siri ya nyuma ya pazia ni kuwa, Bakhresa hufanya biashara ya magari pia. Ananunua jipya then akitumia miaka 10 analiuza. Kitu ambacho ni tofauti na mwamedi.
Mo anafanya kila biashara inayolipa nchi hii isipokuwa Bank na mawasiliano (sekta ambavyo mwenyewe anasema kwanini hakuwejeza mapema )
 
Mo anafanya kila biashara inayolipa nchi hii isipokuwa Bank na mawasiliano ( sekta ambavyo mwenyewe anasema kwanini hakuwejeza mapema )
Mkuu mo kwenye mawasiliano yupo na ukiondoa kuwa moja ya msambazaji vocha ilaaba hisi nyingi voda yeye ndiye akiyenunua hisa za billion 300 kutoka kwa rostam kama nitakuwa nakumbuka vizuri
 
Back
Top Bottom