Hizi ndio sifa za kila mkoa ya tanzania

Kuna utafiti kweli kwa haya uliyoandika au ndy mb ya CHIT-CHAT.
 
ha ha ha hujafanya tafiti, Arusha umewapendelea wao niwatu wavurugu muda wote, na pombe sio starehe ni hoby kunywa kuanzia jioni mpaka asubuhi ili uadisie washkaji kesho kijiweni. Moshi angalau ustaarabu upo ila na wenyewe Pombe baba kuanzia vijijini mpaka mjini, hatakuwe na njaa kali kiasi gani Pombe itanyweka tU, na asiye kunywa pombe wanamshangaa wa wapi huyu.
 
Sipendi ulivyoiweka hiyo ya 22 kuhusu Zanzibar!
Labda ungesema: Ushoga.
 
kigoma ubishi sawa,tanga mapenz sawa(c unajua jahaz la mapenz linahtaji tanga)...pwani uvivu mulemule,ila mwanza umekosea cfa kuu ni ushamba,..mbeya umepatia matukio na ndo kunaongoza kwa unafiki wa dini!.na zenj udini!?mh hapo kipndi cha nyuma mwishon mwa tisin hata ushoga nilkua cjui maan yake ila ilkua inasemekana zenj ndo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…