Hizi ndio starehe mbili kubwa duniani kote kwa mwanaume

Hizi ndio starehe mbili kubwa duniani kote kwa mwanaume

mkuu pm ya nini wakati sio starehe?

au unataka kumkamua kinyesi?
Nataka nimuonyeshe starehe nyingine tofauti na hayo yaliyotajwaa hapo juu
Maana kupendwa na mtuu sahihi unasahau kama kuna dunia nyingine

Mkuu kuna shidaa
 
Hakikaaaaa

Ila hapo kwenye pombe tunaomba u bold kabisa....na irudie mara tatu pia usisahau shading
 
Unaongea Kama vile umeshawahi ishuhudia jinsia yangu. Mimi ni mwanaume
Mwanaume wa kweli unawekaje avatar kama hii?

1623641950918.png
 
Back
Top Bottom