Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Mnadanganyana.luteni hata 2m hajafika kwa taarifa yako
Fanya research acha kuropoka jeshini kuanzia nyota moja wana salary ndefu sana alafu luteni wa jeshi awe hajafikisha 2m jamaa yupo sahihi
 
Fanya research acha kuropoka jeshini kuanzia nyota moja wana salary ndefu sana alafu luteni wa jeshi awe hajafikisha 2m jamaa yupo sahihi
Luten wa jeshi anachukua 1.8m.ukitaka salary slip nitafute nikuonyeshe kwa muda wako.acha kuniambia naropoka bila kuwa na ushahidi..huyo kapten mwenyewe tu hiyo 3m hajafikisha ndio sembuse luten.
 
Hahahahah eti kapteni hajafikisha 3m acha kuchekesha ww
Luten wa jeshi anachukua 1.8m.ukitaka salary slip nitafute nikuonyeshe kwa muda wako.acha kuniambia naropoka bila kuwa na ushahidi..huyo kapten mwenyewe tu hiyo 3m hajafikisha ndio sembuse luten.
 
Naomba kujua mishahara na posho kwa wakufunzi wa vyuo vikuu ipoje kwa anaefahamu.
 
Jamaaa wapo vizuri sana luteni mwenye bachelor anakunja mil.3 hapo cjakwambia major na kuendelea
Hivi hii mishahara huwa mnaitoa wapi nyie ndo mnafanya mtaani watu wanatuona tu ela kumbe hamna kitu
Et luteni alipwe Mili 3 asee sasa major siatalipwa mil 6

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,mimi nimeamua tu kukaa kimya kuepuka kubishana na hawa vijana.eti 3m kwa luten,na wakati huo ndio mshahara wa major plus marupurupu yake yote.
 
Acha ubishi mkuu nipo kwenye hio taasisi unajua
Wewe huenda unasimuliwa,mimi nimefanya ngome saccoss miaka kadhaa kabla ya kuondoka,na hao wajeda ndio walikua wateja wangu wakubwa so salary slip zao nilikua naziona.tatizo mtaani watu mnadanganyana sana.

Wajeda mishahara yao ni ya kawaida ingawa nakubali miongoni mwa vyombo vya ulinzi na usalama, wanajeshi wanalipwa vizuri kulinganisha na wenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…