Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

ina maana ofisi ya mkaguzi mkuu wao hawpo ktk list wana jinyima nyima au ? mfano mkaguzi wa mkoa ana fall ktk scale ipi
 
Tuambie ukweli basi,unapinga kitu afu husemi huo ukweli unaoujua.
Achana na huyo anayepinga hakuna anachojua, TAA njaa sana, salary ndogo posho haizidi 80k na posho iyo mpaka iingie ni kwa kusubiri sana, safari ni kwa viongozi tu na ni kwa kujuana, hakuna overtime.

Ni njaa tupu, kama upo nje ya Taasisi huwezi kuelewa.
 
Degree anaanza na ngap?
 
1.Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA)
2. Tanzania Communication Regulatory Authority
3.Ngorongoro Conservation Area Authority
4.Tanzania National Parks
5. BOT
6. EWURA
7.WCF
Habari kk? Naomba kujua TCAA wapoje in terms of Salary na Benefits nyingine
 
Hakuna extra duty TAA na pia hakuna pesa ya transport, kwa kuwa kuna staff bus.
Kuna kipindi walitaka kutoa staff bus ili watu walipwe transport lakini ikashindikana.

TCAA ndio kuna pesa ya TRANSPORT.

Yaani TAA ni njaa kwenye neema ni TCAA.TCAA wapo vizuri sana.
Na hii kutumia Mshahara wa TGS.. ni kweli?
 
Inatumia Parastatal Salary Scales (e.g., TAA, TAAS)

TAA-3or TAAS-3: Entry level kwa degree, with salaries ranging from TZS 1,500,000 per month.

Higher levels (e.g., TAA-5): Senior or managerial positions, with salaries of TZS 2,000,000 – 5,000,000+ per month.
Kwenye tangazo la kazi kwa Engineers nimeona wanaanza na TAAS 5. Hao sio senior wala managerial. Wanalamba Tsh. ngapi ma-engineer II
 
Achana na huyo anayepinga hakuna anachojua, TAA njaa sana, salary ndogo posho haizidi 80k na posho iyo mpaka iingie ni kwa kusubiri sana, safari ni kwa viongozi tu na ni kwa kujuana, hakuna overtime.

Ni njaa tupu, kama upo nje ya Taasisi huwezi kuelewa.
Totally,wrong infor.Kumbe huku mtu anaweza kusema uongo kwa kujiamini kabisa.
 
Back
Top Bottom