Associate Professa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2026
- 561
- 811
Nenda AG hela nyingi hamna purukushani za kukimbizana mahakamani kila siku kama kina KatugaSaw hivi kati ya nps na ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali wapi pazuri zaidi
Nenda AG hela nyingi hamna purukushani za kukimbizana mahakamani kila siku kama kina KatugaSaw hivi kati ya nps na ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali wapi pazuri zaidi
Saw mkuuNenda AG hela nyingi hamna purukushani za kukimbizana mahakamani kila siku kama kina Katuga
1,115,000/=wakuuu ivi mshahara wa SAID E ni ngap
1,115,000/=
Allowance zao ni hizi
Food 600k
House 500k
Transport 300k
Communication 120k
[/QUO
NAOTNdio Taasisi gani hii mkuu
Basi pazuriNAOT
Ya kweli haya mkuu1,115,000/=
Allowance zao ni hizi
Food 600k
House 500k
Transport 300k
Communication 120k
Huku kwa WATAMISEMI?Ila taasisi nyingi tu siku hizi mtu mwenye bachelor anachukua 2m+ yan hapo umeshaweka na posho zao tayari
Hapana sio tamisemi... taasisi km tpa, ucsaf, pura, ewura, tpdc, tcaaHuku kwa WATAMISEMI?
Mshahara Mkubwa sana Huu MkuuTASAC hawana safari za kutosha, ukitoa mshahara wao ambao kwa bachelor anachukua si chini 3.5m paka 4m hawana kingine.