Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Kama hujui, baada ya JW anaefuatia ni PT. Hao UT kidogo ukijua lugha utakaa boarder na kupata OT. Nje ya hapo, PoLE
Ww Unaongelea SENIORITY
,mm sijabase huko NARUDIA TENA Baada ya JW interms of opportunities na muda wa kupiga harakati zako narudia tena UT na Jeshi la Uhifadhi ndio pazuri kuliko PT..PT pakawaida sana hamna maajabu
..ukiwa na level ya degree utaenjoy kiasi chake
 
Sijui kama unajua kwamba, ukiwa kwenye majeshi, kitu cha kwanza wanasema kuwa WEWE NI ASKARI, TAALUMA BAADAE. kwaio haijalishi degree, form 4 au nani. Nina jamaa zangu kwenye majeshi tofauti, mfano polisi, degree IT kwenye Oct alikua na mtutu lindo, halafu dip wa vert kigoma alikua zake askari raia, anarudi saa 12 maskani. Hao TANAPA nao ni walewale tu, mjini hakuna mbuga,
 
TANAPA wajanja sana ,posho zinazidi mshahara 😅😅
 
Sijui kama unajua kwamba, ukiwa kwenye majeshi, kitu cha kwanza wanasema kuwa WEWE NI ASKARI, TAALUMA BAADAE. kwaio haijalishi degree, form 4 au nani. Nina jamaa zangu kwenye majeshi tofauti, mfano polisi, degree IT kwenye Oct alikua na mtutu lindo, halafu dip wa vert kigoma alikua zake askari raia, anarudi saa 12 maskani. Hao TANAPA nao ni walewale tu, mjini hakuna mbuga,
Sasa hapo umebase kwenye aspect gani??
Kwenye majeshi JW,JU na UT full stopppp
 
Ww Unaongelea SENIORITY
,mm sijabase huko NARUDIA TENA Baada ya JW interms of opportunities na muda wa kupiga harakati zako narudia tena UT na Jeshi la Uhifadhi ndio pazuri kuliko PT..PT pakawaida sana hamna maajabu
..ukiwa na level ya degree utaenjoy kiasi chake
Acheni ubishi, kila mtu ataje mshahara na posho applicable to UT na PT kwa afisa daraja la pili au any entry position ili tulinganishe. Naona mnabishana tu.
 
Entry Position analamba TZS 2.4 kwa UT ila kwa PT analamba TZS 1.4
 
Acheni ubishi, kila mtu ataje mshahara na posho applicable to UT na PT kwa afisa daraja la pili au any entry position ili tulinganishe. Naona mnabishana tu.
hao wote malipo yao yapo sawa ..wapo chini ya wizara ya mambo ya ndani
hatuongelei salary chifu
 
Back
Top Bottom