Spectophotometer
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 378
- 507
Connection inawezekana hata mwakaKwahyo hata kwa connection haiwezekani?
Connection inawezekana hata mwakaKwahyo hata kwa connection haiwezekani?
Oky ngoja niitafute hiyo connection tuzungumzeConnection inawezekana hata mwaka
TFS unaiachaje Tena inatakiwa iwe top three huko pesa ni nyingi sanaWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Maana na tatizo la moyo kwahyo kusafiri sana kwenda dsmConnection inawezekana hata mwaka
Andaa Milioni 10 fresh kabisa unahamishwa Kwenda sehemu yeyote unayotakaKwahyo hata kwa connection haiwezekani?
M10 si bora ufungue bisharaAndaa Milioni 10 fresh kabisa unahamishwa Kwenda sehemu yeyote unayotaka
Ambayo baada ya miaka mitano utakua umejiwekea mizizi mizuri ya kuongeza kipatoM10 si bora ufungue bishara
DuuuhAndaa Milioni 10 fresh kabisa unahamishwa Kwenda sehemu yeyote unayotaka
Inategemea na level ya elimuJamani polisi rank and file anakunja bei gani akiwa anaanza kazi maana nataka nikajitupe huko. Mambo ya utumishi ntahama badae
Level ya six mkuuuInategemea na level ya elimu
NB:ukija hiyo idara kwa lengo la kujikwamua kiuchumi ni uongo..
UmeSoma Note Back ?Level ya six mkuuu
Kwenye Majeshi Pambana uingie JW au UHAMIAJI ......Full stopLevel ya six mkuuu
NIC pakoje mkuuKwenye Majeshi Pambana uingie JW au UHAMIAJI ......Full stop
Uhamiaji hii hii?Kwenye Majeshi Pambana uingie JW au UHAMIAJI ......Full stop
Yes hyo hyo ukiwa na elimu jeshini pazuri zaidiiiUhamiaji hii hii?
Nimeongelea jeshi chifuNIC pakoje mkuu
Nin Note backUmeSoma Note Back ?
Ogopa matapeliAndaa Milioni 10 fresh kabisa unahamishwa Kwenda sehemu yeyote unayotaka
Hapo wanaongelea mishahara. Ukiongea marupurupu tu mbali na mshahara zipo taasisi na wizara kadhaa hazijatajwa ila afisa ana uwezo wa kutengeneza zaidi ya 70M kwa mwaka nje ya mshahara.TFS unaiachaje Tena inatakiwa iwe top three huko pesa ni nyingi sana