Bambalaga01
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 304
- 646
Kumbe namjibu kichaaSio kweli mkuu. Ni mashirika binafsi ya kuhudumia wakimbizi.
Sawa mkuu
Kumbe namjibu kichaaSio kweli mkuu. Ni mashirika binafsi ya kuhudumia wakimbizi.
Usinichukulie serious sana.Kumbe namjibu kichaa
Sawa mkuu
Dah, Huwez kuwa seriousUsinichukulie serious sana.
Mwenzako nimesimama kidogo kupunga upepo nje ya ofisi.
Mkuu tutekeleze majukumu yetu kikamilifu, tutende haki kwa watanzania wenzetu. Mengine tunamuachia Mungu. Kama uliandikiwa kufanya Kazi Ofisi za Umoja wa Mataifa muda wako ukifika utaitwa tu.Dah, Huwez kuwa serious
Leta connection hyo mkuu tutoke huku lga
Sawa mkuu, ushauri mzuri nimepokeaMkuu tutekeleze majukumu yetu kikamilifu, tutende haki kwa watanzania wenzetu. Mengine tunamuachia Mungu. Kama uliandikiwa kufanya Kazi Ofisi za Umoja wa Mataifa muda wako ukifika utaitwa tu.
Cha muhimu tulinde afya zetu.Sawa mkuu, ushauri mzuri nimepokea
Ni kweli kabisaPsssf na nsssf zimeanzidhwa na serikali, ni Taasisi za serikali za hifadhi ya jamii, Moja husimamia waajiriwa WA private na nyengine wa public au serikali. wakuu wa Taasisi hizo ( Director general ) huchaguliwa na Raisi , domain name zao ni .go.tz zenye kumaanisha ni chombo Cha serikali na sio .co.tz kama nmb, crdb. Website zao zimetengenezwa na zinasimamiwa na EGA.
kwa hiyo unataka watu watoke ewura,tra waende mahakamaBasic salary sio issue, kuna watu wanapiga pesa kupitia njia za kawaida very simple,mfano kuna siku nimeenda kupata huduma mahakamani,kila anayekuja na shida anaacha kitu mara utasikia kwaajili ya muhuli mara uhakiki.Kwa muda niliokuwa pale yule mama wa Masijala alikua kukusanya zaidi ya elfu 90
Na ukiwa na diploma (mpima ardhi) wanaanzia ngapi wizara ya ardhi?- Ukiwa na degree ya upimaji ardhi ukasajiliwa na Board(Land survey) unaanza na mshahara huo huo pia?
Tgs D. 850+kNa ukiwa na diploma (mpima ardhi) wanaanzia ngapi wizara ya ardhi?
Huyu sio mwenye Bachelor kweli?!Tgs D. 850+k
Bachelor ni 1.1mHuyu sio mwenye Bachelor kweli?!
Nenda tbsNaomba ushauri hivi kati ya TBS na GST wapi kuzuri sana?
Ngoja tusikie wengineNenda tbs
Nenda TBSNgoja tusikie wengine
bd hii ya viwango auNenda TBS