Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hadi TANESCO mishahara minene? Labda Ufisadi na rushwa ila si mishahara! Ukitaka kujua Taasisi zenye mishahara mikubwa angalia Parking(Uwingi wa ndinga za maana) na wanakula wapi Lunch.

-Ukikuta zimepaki Raum/IST/FunCargo/Duet /Vitz /Bb /Nissan March na lunch wanakula kwa mama lishe ugali buku jero na wali buku 2 basi jua hamna kitu hapo.
Haha,ila jaman mmh
 
Niliwahi kwenda kwenye taasisi fulani watumishi wamepaki Range,Prado, harrier anaconda, Vanguard,in short inaonekana wanashindana kuendesha expensive cars
 
Yeah hapo jua kwamba wana mishahara mizuri na lunch wanawasha ndinga wanaenda hata 6km kwenda kula chakula then wanarudi.
 
Unakataa ulikuwepo au uko halmashauri au
Mi siwezi kubishana na member ni Jamii Forums Expert Member, ni Verified na pia Platinum member soma hii section DCEA wamejaa TISS
IMG_1705.jpeg
 
Back
Top Bottom