Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Mkuu kupata kazi kwenye hiyo taasisi hadi uwe na connection nzito tena nzito kwelikweli!

Kuna mshikaji fulani alikuwa anapambaniwa sana na waziri fulani ili apate kazi huko na bado aliambulia patupu!

sasa Mkuu si utaje taasisi, unavyoiweka siri dah[emoji23][emoji23]
 
Mkuu kupata kazi kwenye hiyo taasisi hadi uwe na connection nzito tena nzito kwelikweli!

Kuna mshikaji fulani alikuwa anapambaniwa sana na waziri fulani ili apate kazi huko na bado aliambulia patupu!

Wacha maneno, TAJA hyo Taasisi Conbection zinatafutwa tu, Wote sisi ni wa Tanzania
 
Nimesoma Uzi mzima.
Sijaona Salary Range za jamaa wanajiita TAWA.

Nataka nihamie huko.
Achana nao, labda kama wana posho zingine nje ya mshahara. Mishahara yao kawaida kwa mtu mwenye Bachelor sio zaidi ya 1.5 Million TZS basic salary.

Kwa Taasisi sawa na hizo kwa upande wa salary nzuri anaanza NCAA, TANAPA, TFS kisha TAWA.
 
Hivi TFS wanaanza na sh ngapi Bachelor..?
 
huko sawa, ila mostly wanataka uwe na master + Uzoefu kazini hata miaka 3. Hawachukui freshers kabisa na hakuna connections huko
Sema huko ukiwa jembe la kazi halafu upate shirika lenye kujali utu@UN unaenjoy sana.

Sema issue ni temporary contracts.
 
Hata ukifanya uko miaka 8, Sawa umefanya serikali Miaka 16 Yaani mara 2.

Kuna kazi unakuta labda USA embassy wametangaza wanalioa mpaka ml8 kwa mwezi, Sasa ata ukifanya miaka mi3 si unakua ushajenga na kuanzisha tumiradi tudogo huku unatafuta shirika lingine.

na ukishagusaa hayo mashirika ukawa na uzoefu mzuri, ndo baasi tena wewe unakua wa huko huko tu.
 
Upo sahihi kabisa mkuu.
Uzuri wa kule huchezei mshahara maana muda wowote linaweza kutokea lolote wakakuaga.

So, kila sh. 5 unayoipokea inakuwa na thamani kwako.
 
Back
Top Bottom