Idiot Imbecile
Senior Member
- Nov 7, 2024
- 187
- 474
Basi kama wanapokea hiyo sio pa moto sana.Hawa nafikiri kwa mtu mwenye bachelor anapokea 1.3, na allowances za hapa na pale.
Kuna taasisi fulani mtu anayeanza kama hakatwi loan board anapokea mara mbili ya hiyo.
Bado allowances wanazopewa kwa mwezi ni zaidi ya hiyo 1.3 mbali sana.
Nashangaa watu humu huwa hawaitaji kabisa. Kuna pesa nyingi zaidi ya taasisi zinazovuma humu kwamba kuna pesa mishahara na posho nono.