Lete Michongo
Member
- Nov 21, 2024
- 12
- 15
Yes,
Kadhaa🤔 , ni allowances zipi hizo huwa wana offer mkuu?Yes, kadhaa.
Yes,
Kadhaa🤔 , ni allowances zipi hizo huwa wana offer mkuu?Yes, kadhaa.
Kwa kweli sizifahamu majina. Lakini zipo kama 3 au 4 hivi...Kadhaa🤔 , ni allowances zipi hizo huwa wana offer mkuu?
Haina noma mkali,Kwa kweli sizifahamu majina. Lakini zipo kama 3 au 4 hivi...
Sio kweli.Haina noma mkali,
Sema nimewah kuona post flan kuwa utaratibu wao wa kwenda mafunzo ni mnakaa kitaa kinoma kabla ya kwenda.
Sijuhi ya kweli hayo
Haina noma mkali,
Sema nimewah kuona post flan kuwa utaratibu wao wa kwenda mafunzo ni mnakaa kitaa kinoma kabla ya kwenda.
Sijuhi ya kweli hayo
ndio, wa saivi wanasubiri huu mwezi wa
Nimekuelewa ,ila pia kama sijakuelewa vizuri😂😂😂😂😂😂😂.ndio, wa saivi wanasubiri huu mwezi wa 2
Nimekuelewa ,ila pia kama sijakuelewa vizuri😂😂😂😂😂😂😂.
Yaani ni kwamba tangu waitwe huu ni mwezi wa pili ?au wana muda ila wanasubiri waitwe mafunzo huu mwezi wa pili? au wanasubiri mwezi wa pili huu uishe ndo waitwe?.
Nimesikita kuwa katika taasisi zenye mishahara mizuri, taasisi zinazolea watoto wetu kuwa watu bora.Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Kivipi?oyaaa wazee TBA nako kumenoga
Kuanzia 4MHuo Unono ndio kiwango gani??Yamkini hata mimi nalipwa mshahara mnono
wewe jua tu kumenoga.Kivipi?
Duhhkuna taasisi zina mishahara midogo, lakini wanalipwa posho kubwa, unakuta salary scale ni 1M, lakini posho ni 3M
Kuna mtu alishawahi kuniambia usiangalie mshahara bali poshokuna taasisi zina mishahara midogo, lakini wanalipwa posho kubwa, unakuta salary scale ni 1M, lakini posho ni 3M
Taja hata 3 babuuukuna taasisi zina mishahara midogo, lakini wanalipwa posho kubwa, unakuta salary scale ni 1M, lakini posho ni 3M
Hii inawezekanaje?kuna taasisi zina mishahara midogo, lakini wanalipwa posho kubwa, unakuta salary scale ni 1M, lakini posho ni 3M
inawezekana kabisa, ila siwezi kuwatajia hiyo taasisi.Hii inawezekanaje?