Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Sidhani kama Kuna Taasisi chini ya wizara ya madini na nishati yenye njaa
Kwa Taasisi ni hizi ;
  1. Taasisi chini ya wizara ya fedha (Hapa ni kuanzia BOT na baadhi zile za ukaguzi hasa ofisi ya CAG japo mishahara kawaida. kuna watu wanakula rushwa kama TRA na ofisi ya ukaguzi.
  2. Taasisi chini ya wizara ya Madini na nishati - Kwenye hii kama wote wanakula pesa mpaka kuna kipind serikali iliingilia kati ,wanakuja pesa walishusha mishahara ila posho mlima
  3. Taasisi chini ya wizara ya uchukuzi- Hapa ni TASAC ,TCAA, LATRA , TPA wizarani na mwisho ni TAA (wana mishahara midogo). Yote Tisa anaanza Dp world halafu anafuata TASAC na TCAA kwa mishahara na miposho
 
Dp world ni private institution. Ila uchukuzi uwe makini Kuna Taasisi kama Tazara njaa tupu
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Vipi kuhusu Ikulu Chamwino Mkuu? Naona KM wa Sasa wa Viwanda na Biashara wanamuita Bilionea Waziri S. K. alikuwa huko. Mshahara alikuwa analipwa ngapi?
 
Sasa kwani hao TISS unadhani wanalipwa kipi tofauti na police?
Tiss walio kwenye protection ya viongozi walau ndio wana pesa.
Mimi nadhani wako vzuri kimslahi sna, maana vita ya madawa ni kubwa sana na ina ushawishi, wanatengeneza mazingira mazur maofisa wao wasiingie kwenye tamaa ya rushwa.
Lazima wawe vzur
 
Back
Top Bottom