😂😂😂Pia anayefahamu mshahara wa kuanzia kwa officer anayeanza kazi TCRA, BOT, EWURA na TPDC naomba anitajie
TASAC hawana safari za kutosha, ukitoa mshahara wao ambao kwa bachelor anachukua si chini 3.5m paka 4m hawana kingine.Nataka namba 10
Mkuu mbona kicheko kama unafahamu naomba nitajie
Mkuu gaming board kwa afisa anayeanza kazi huwaga ni ngapi anaanza nayoNgorongoro ni balaa
Gaming board nako pazuri sana
Pia anayefahamu mshahara wa kuanzia kwa officer anayeanza kazi TCRA, BOT, EWURA na TPDC naomba anitajie
Sawa umepataNataka namba 10
Hao wana mishahara mikubwa artisan tu anachukua 1.3, technician 1.8 hizi ni gross salary, yan bachelor take home inafika 3mHadi TANESCO mishahara minene? Labda Ufisadi na rushwa ila si mishahara! Ukitaka kujua Taasisi zenye mishahara mikubwa angalia Parking(Uwingi wa ndinga za maana) na wanakula wapi Lunch.
-Ukikuta zimepaki Raum/IST/FunCargo/Duet /Vitz /Bb /Nissan March na lunch wanakula kwa mama lishe ugali buku jero na wali buku 2 basi jua hamna kitu hapo.
Umehadithiwa au wewe ndiyo upo hapo Tanesco? Kama tecnician Tanesco anachukua 1.8 Gros basi vijana wanaomaliza FTC wangejazana hapo kuomba kazi ,yaani mtu mwenye bachelor Tanesco anachukua take home 3m? Makee hapo kwanza ncheke!!Hao wana mishahara mikubwa artisan tu anachukua 1.3, technician 1.8 hizi ni gross salary, yan bachelor take home inafika 3m
Hao wana mishahara mikubwa artisan tu anachukua 1.3, technician 1.8 hizi ni gross salary, yan bachelor take home inafika 3Hadi TANESCO mishahara minene? Labda Ufisadi na rushwa ila si mishahara! Ukitaka kujua Taasisi zenye mishahara mikubwa angalia Parking(Uwingi wa ndinga za maana) na wanakula wapi Lunch.
-Ukikuta zimepaki Raum/IST/FunCargo/Duet /Vitz /Bb /Nissan March na lunch wanakula kwa mama lishe ugali buku jero na wali buku 2 basi jua hamna kitu hapo.
Basi mkuu hatubishani ila tanesco wametoka kuongezewa mshahara mwezi wa 8... endelea kuamin unachoamin km hutaki kusikia ukweliUmehadithiwa au wewe ndiyo upo hapo Tanesco? Kama tecnician Tanesco anachukua 1.8 Gros basi vijana wanaomaliza FTC wangejazana hapo kuomba kazi ,yaani mtu mwenye bachelor Tanesco anachukua take home 3m? Makee hapo kwanza ncheke!!
Mwanafunzi wangu aliacha kazi TANESCO kwasababu ya mshahara mdogo ,alikuwa analipwa mshahara laki 7 bachelor electronics ,na wengi sana waliacha kazi tanesco kwasababau ya mishahara mbuzi ,ukiona mfanyakazi wa tanesco anapesa basi jua ni pesa za rushwa!Hao wana mishahara mikubwa artisan tu anachukua 1.3, technician 1.8 hizi ni gross salary, yan bachelor take home inafika 3
Basi mkuu hatubishani ila tanesco wametoka kuongezewa mshahara mwezi wa 8... endelea kuamin unachoamin km hutaki kusikia ukweli
Mkuu kumbe unaongelea historia, mimi nazungumzia mishahara ya sasa hivi, na huyo alikudanganya maana 2023 technician alikua anachukia milioni moja na elfu 7 basic, wakaongeza ikaenda paka 1.3, sasa hivi ni 1.8m, huyo labda alikuwa mkataba wa kwako. Mimi nazungumzia kitu nachokijua sio nachokisikia... mimi sizungumzii kuwa na pesa au kutokuwa nazo, nazungimzia mishahara yao... mkuu nenda kamuulize mtu anayefanya kazi tanesco akikwambia artisan anachukua gross chin ya 1.3m au technician anachukua 1.8m nitafute nikurushie hata elfu 10 tu kaka ya usumbufu.Mwanafunzi wangu aliacha kazi TANESCO kwasababu ya mshahara mdogo ,alikuwa analipwa mshahara laki 7 bachelor electronics ,na wengi sana waliacha kazi tanesco kwasababau ya mishahara mbuzi ,ukiona mfanyakazi wa tanesco anapesa basi jua ni pesa za rushwa!
Mishahara tunajua inavyoongezwa ,inaongezwa kwa % hata hiyo unayosema wameongezwa mwezi wa nane usikute wameongezwa elfu 50 hadi laki.
Siwezi kuuliza kitu nachokijua, salary za tanesco ni ndogo ,kinachowaokoa labda safari za nje (kwa wenye degree)za mafunzo ila salary za kawaida ,nawajua watu kadhaa waliacha coz ya mishahara midogo.Mkuu kumbe unaongelea historia, mimi nazungumzia mishahara ya sasa hivi, na huyo alikudanganya maana 2023 technician alikua anachukia milioni moja na elfu 7 basic, wakaongeza ikaenda paka 1.3, sasa hivi ni 1.8m, huyo labda alikuwa mkataba wa kwako. Mimi nazungumzia kitu nachokijua sio nachokisikia... mimi sizungumzii kuwa na pesa au kutokuwa nazo, nazungimzia mishahara yao... mkuu nenda kamuulize mtu anayefanya kazi tanesco akikwambia artisan anachukua gross chin ya 1.3m au technician anachukua 1.8m nitafute nikurushie hata elfu 10 tu kaka ya usumbufu.
Mkuuu hii ni bila posho, kingine hakuna mtu anayeweza kukimbia tanesco kwa sasa wala asikudanganye.... sasa kama technician take home anachukua 2m utasemaje salary ndogo... OT wanachukua flat laki 4, wana posho ya nyumba, usafiri na chakua. Hao kaka walikudanganya au labda miaka hiyo ila kwa sasa hivi hakuna anayeweza kukimbia tanescoSiwezi kuuliza kitu nachokijua, salary za tanesco ni ndogo ,kinachowaokoa labda safari za nje (kwa wenye degree)za mafunzo ila salary za kawaida ,nawajua watu kadhaa waliacha coz ya mishahara midogo.
Gross ya 1.3 au 1.8 ni Net ya 1m mpaka 1.4m ambayo ni kwa mtu ambaye hana familia ndiyo atleast itamtosha ,mtu mwenye majukumu na familia hauwezi kusema 1,4m ni kubwa!
Wana posho? Yaani ela allowance/incetive mbali na gross salareeMkuu kumbe unaongelea historia, mimi nazungumzia mishahara ya sasa hivi, na huyo alikudanganya maana 2023 technician alikua anachukia milioni moja na elfu 7 basic, wakaongeza ikaenda paka 1.3, sasa hivi ni 1.8m, huyo labda alikuwa mkataba wa kwako. Mimi nazungumzia kitu nachokijua sio nachokisikia... mimi sizungumzii kuwa na pesa au kutokuwa nazo, nazungimzia mishahara yao... mkuu nenda kamuulize mtu anayefanya kazi tanesco akikwambia artisan anachukua gross chin ya 1.3m au technician anachukua 1.8m nitafute nikurushie hata elfu 10 tu kaka ya usumbufu.
Hapo nimechanganya sio gross salary, ni basic salary, yan basic salary kwa artisan ni 1.3m, technician ni 1.8m hapo kabla ya makato wala kabla ya posho... wana overtime ambayo ni flat kwa wote 400k, wana posho ya house na usafiri, na moja nimeisahau ziko tatuWana posho? Yaani ela allowance/incetive mbali na gross salaree
18. CHAWA WA MAMAWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA