Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Kwenye huu uzi zilitakiwa kutajwa namba tuu..ila kumekuwa na brabra kibao inaonesha hakuna utafiti wa viwango vya mishahara kwenye maeneo hayo
 
TAA njaa kali wana scale za government isipokuwa posho za mwezi kama laki 8 haizidi hapo.... Wafanyakazi wengi wanahama ndio maana kutwa wanaajiri watu wapya.
Uwepo tuu wa hiyo posho ya laki 8 ni tosha kuwa pako vizuri, wenfine hiyo ndio take home na hakuna hela nyingine zaidi
 
Kwa hiyo TAA ni unyama au njaa kali??😆😆. Maana mnabishana tu humu. Sasa kila mtu aliye TAA awake kopi ya salary slip yake inayoonesha mshahara ghafi ili tuhakikishe.
Hapa zilitakiwa zitajwe namba tuu kuwa wanalipwa kiasi gani.. njaa kila mtu ataitafsiri kwa namna yake..mwingine ukimwambia wanalipwa posho ya katikat ya mwez ya laki 2 ataona kuna neema maana tuliko hakuna hata hiyo
 
2.340M ni entry level kwa mtu mwenye Degree na overtime ya 234000 ambayo hutalipwa kama upo likizo tuuu so entry level ni kama 2.6M kwa bachelor Diploma ni 1.856M Mama Junior akiongeza May inaweza kuwa taasisi inayolipa vizuri zaidi.
You said it all.
 
Ety wadau.. COPRA wanatumia TGS au wana scale zao ambazo ni no tu..?
Vipi kuhusu posho mbalimbali huko..?
 
2.340M ni entry level kwa mtu mwenye Degree na overtime ya 234000 ambayo hutalipwa kama upo likizo tuuu so entry level ni kama 2.6M kwa bachelor Diploma ni 1.856M Mama Junior akiongeza May inaweza kuwa taasisi inayolipa vizuri zaidi.
Kwa sasa wamepandishiwa mishahara ni more than 2.3m+
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Kama OSHA haipo hii post ni ya uongo,,

Kuna
OSHA,
TAWA
 
Hivi EWURA na TPDC nani yuko vizuri kwenye mshahara kuliko mwenzie...? Engineer anayeanza kazi Ewura au Tpdc nani anakuwa na maslahi mazuri
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA

Nataka namba 10
 
Back
Top Bottom