Jamaa ameeleza ukweli hapo. Kwa kuongezea, wanaingia kwa shift kama tatu, hivyo sahau kuhusu extra duty. Zipo ila sio kivileHakuna extra duty TAA na pia hakuna pesa ya transport, kwa kuwa kuna staff bus.
Kuna kipindi walitaka kutoa staff bus ili watu walipwe transport lakini ikashindikana.
TCAA ndio kuna pesa ya TRANSPORT.
Yaani TAA ni njaa kwenye neema ni TCAA.TCAA wapo vizuri sana.
Tena shift ni day ,night ,easy ,off, upande wa security wana support..yaani anaweza kuingia day night then akasupportJamaa ameeleza ukweli hapo. Kwa kuongezea, wanaingia kwa shift kama tatu, hivyo sahau kuhusu extra duty. Zipo ila sio kivile
Vip kuhusu TAAS 4Inatumia Parastatal Salary Scales (e.g., TAA, TAAS)
TAA-3or TAAS-3: Entry level kwa degree, with salaries ranging from TZS 1,500,000 per month.
Higher levels (e.g., TAA-5): Senior or managerial positions, with salaries of TZS 2,000,000 – 5,000,000+ per month.
Wanalipa ngapi? Tazama PipelinesTAZAMA PIPELINE
Nipo nasubiria majibu hapa kutoka kwa wadauVp kuhusu bodi ya Nataka na mazao mchanganyiko (CPB) VP mishahara Yao ipoje? Na jee vp kuhusu posho zao?
Defensive mechanisms 😆😆😆Anawatengenezea mazingira muone kafulia msimpige vizinga[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao jamaa kwa jinsi staffs wao walivyochoka sidhani kama kuna maajabu huko.Nipo nasubiria majibu hapa kutoka kwa wadau
Wewe uliwaona wapi mkuu..?Hao jamaa kwa jinsi staffs wao walivyochoka sidhani kama kuna maajabu huko.
Hao jamaa kwa jinsi staffs wao walivyochoka sidhani kama kuna maajabu huko.
Kaka hebu tuambie vzr details za hapo unazo? Kama unazo basi tuambie basiHao jamaa kwa jinsi staffs wao walivyochoka sidhani kama kuna maajabu huko.
Kwa level ya bachelor anaanza na ngapMishahara ya kawaida mno
Halmashauri, police, magereza, uhamiaji, wizara kote ni sawa.Mishahara ya Halmashauri ina tofauti na ya wizarani ?