Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Kuna taarifa njema niliona kuwa tanapa na ncaa kuanzia mwaka mpya wa fedha yan July, wataanza kujiendesha wenyewe tena.. I hope watarudi kwenye ubora wao
 
Ila taasisi nyingi tu siku hizi mtu mwenye bachelor anachukua 2m+ yan hapo umeshaweka na posho zao tayari
Yeah unakuta salary scale ni 1.5m ukikata na bodi anabaki na 900, extraduty 900,00/, housing 200,000/-, communication 100,000/, transport 200,000/- ukifanya total unakuta ni 2.5m ila Kwa mwenye cpa, advocate, engineer atapata more than 2.5 like 2.85m
 
Hivi huku hali ipoje?
Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Au malipo ni TGS?
 
Back
Top Bottom