Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Yeah unakuta salary scale ni 1.5m ukikata na bodi anabaki na 900, extraduty 900,00/, housing 200,000/-, communication 100,000/, transport 200,000/- ukifanya total unakuta ni 2.5m ila Kwa mwenye cpa, advocate, engineer atapata more than 2.5 like 2.85m
Allowance azikatwi kodi?
 
Mwalimu akiona hii comment atalia kwa uchungu sana
 
Bila picha za payslip za wadau kutoka ofisi hizo,uzi huu unabaki kua tetesi
 
Na mengi Kati ya hayo ni non-producing sector of the economy. Chukua hao wenye kudhibiti bei ya mafuta, gesi, na maji. Wanacheza tu na bei za bidhaa hizo na wanakata asilimia ndogo toka kwa kila mlaji na kujipatia mabilioni ya fedha ambazo baadae wanagawana kama mishahara. Wazalishaji umeme wao nib muhimu katika sekta ya uzalishaji na hivyo hicho wanacholipwa ni stahiki yao.
 
Back
Top Bottom