Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

TANAPA wana pesa ndefu katika hawa Askari hasa kwa entry level ,ilq kuna kipind serikali ilitia mkono hapo wakatoa milio ya njaa..
Sasa hivi kuanzia july mwaka mpya wa fedha wamerudishiwa nguvu Tanapa na Ncaa wataanza kujiendesha wenyewe
 
Hapo mzuka sana ,mambo si haba naona Taasisi nyingi wameanza kutanua hapo July.
 
Hapo wamebaki tfs na tawa, ingawa cha ajabu tfs juzi ndio ameleta gawio kubwa kuliko hao wengine na tfs nasikia kwa mshahara yeye ndio yuko chini ukicompare na hao wenzake tanapa, ncaa na tawa
Ukiona hivyo mishahara midogo ni uongozi ,hapo viongozi wa juu watakula pesa kupitia safari ila nyie wengine hamna kitu ..Zipo Taasisi ukitajiwa mishahara unaweza kucheka ,majina makubwa kama GPSA ,TRC ,OSHA,
 
Sio wanapokea mshahara mdogo ila ni mdogo ukicompare na hao wenzao... ila ni mshahara mkubwa sana
 
Sasa hivi kuanzia july mwaka mpya wa fedha wamerudishiwa nguvu Tanapa na Ncaa wataanza kujiendesha wenyewe
Actualy walikuwa wanajiendesha wenyewe kabla ya janga la covid, wakati huo jpm aliyachukua haya mashirika maana yalikuwa on the brink of failing, akaona ayachukue na mapato yakaenda mfuko mkuu

Ila baada ya hali kutulia sasa hiv , wamerudishwa kwenye utaratib wao
 
Ukiona hivyo mishahara midogo ni uongozi ,hapo viongozi wa juu watakula pesa kupitia safari ila nyie wengine hamna kitu ..Zipo Taasisi ukitajiwa mishahara unaweza kucheka ,majina makubwa kama GPSA ,TRC ,OSHA,
Osha siyo asali?
 
Back
Top Bottom