Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Daaah umejjibu kibabe sana mzee wangu.
Haya maisha ni kujilinganisha wewe mwenyewe, Kesho yako ikiwa bora kuliko jana ni hatua. Stress ni kujilinganisha na watu wengine. We should challenge ourselves not to use others as a standard of comparison. There is no limitation to self-redeemers.
 
Wachache wanaelewa hilo. Na waliolielewa hilo ndio wenye furaha ya kweli if other factors zikiwa constant.
 
Tupe experience yako
Niliaminishwa na jamaa zangu tuliosoma wote Engineering miaka hiyo kuwa hapo ndipo kuna mshahara mkubwa kumbe sio kweli. In fact mshahara na fixed allowances zilikuwa zinaingia pamoja, wasiojua ndio wanafikiri wote huo ni mshahara wa afisa/mhandisi. Uzushi mtupu

Giant private sectors / NGOs / Embassies na international organisations zinalipa vizuri sana kuliko huko kwenye comfort zone.
 
Duh.sio pia
 
Name some of those giants, Where you was in particular kabla haujaenda ktk moja ya hao watano wa mwanzo
 
Back
Top Bottom