Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Wadau humu ndani Kuna mtu wa TPHPA.. maana mwaka Jana niliona walitoa gawio kubwa na kusifiwa na Rais(Mama Samia).
 
If you’re in a waiting season, my challenge is to wait in faith. Wait, knowing that God controls time, that He can do things fast. You’re not falling behind. One touch of God’s favor will put you years down the road.
 
Yan ndo nawaza hapa duh isije nikaenda kushinda njaa kaka
Ila ilibid ufatilie huko kabla hujaanza hiyo michakato, kuna mshikaj wangu alikuwa anaomna uhamisho taasisi fulan, kumbe hiyo taasisi ina zaid ya mwaka haijalipa posho wafanyakazi wake
 
So get this clear:

No one is coming to save you.
No one is checking if you ate.
No one cares about your sad story unless it's on a success podcast after you make it.

Fix your life. Or die watching the world pass you by.

Because being a broke man is not just hard,,,it’s f*cking humiliating.
And no one will respect you until you rise from the dirt they left you in.
So get up. Silently. Violently. Consistently.
And earn your place in a world that never handed you one.
 
Ila ilibid ufatilie huko kabla hujaanza hiyo michakato, kuna mshikaj wangu alikuwa anaomna uhamisho taasisi fulan, kumbe hiyo taasisi ina zaid ya mwaka haijalipa posho wafanyakazi wake
Nilifatilia nikaambiwa kupo vzr ila kukatokea mabadiliko ya naona ndo mana hali si shwar ila nikaambiwa ni suala la mda tu mambo yatakaa sawa ila jinsi unavyoniambia ww napata picha kuwa no pakavu sana.
 
Kwa hiyo nyinyi interest yenu ni pesa sio, sio kuwahudumia watznia wenzenu ?
 
Wakuu uhamiaji vip nasikia nako Kuna asali nzito hasa ukiwa bachelor polisi hawaingii
 
Back
Top Bottom