kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,345
- 5,455
Nadhani TBS maana Kuna mwaka ma engineer walikuwa wanapakimbilia sanaName some of those giants, Where you was in particular kabla haujaenda ktk moja ya hao watano wa mwanzo
Nadhani TBS maana Kuna mwaka ma engineer walikuwa wanapakimbilia sanaName some of those giants, Where you was in particular kabla haujaenda ktk moja ya hao watano wa mwanzo
Serikalini unalipwa ngapi na private ulikuwa unalipwa ngapiMpaka leo najuta kuhama private sector na kuingia kwenye moja ya taasisi tano za mwanzo kwenye hiyo list.
UDSM vipi?Vyuo vyenye mishahara na posho nyingi.
- IFM,TIA,IAA,CBE hivi vyuo wanalipa housing allowance, transport allowance, kila lecture wanalipwa Kwa saa ni 20,000/- Kwa cheo Cha chini lecturer na assistant lecturer ni juu ya hiyo 20,000/-, Kwa mwezi Wana masaa not less than 60 hrs,
Nishasain mkuu sio pabaya sanaPako vizuri
Basic ni bei ganiNishasain mkuu sio pabaya sana
Mpaka leo najuta kuhama private sector na kuingia kwenye moja ya taasisi tano za mwanzo kwenye hiyo list.
Itakua tbsMkuu ni taasisi gani hio?
Huko alikokuwa kabla ni wapi? Compare salary gap tuone kama ana hojaItakua tbs
Salary scale yao haizidi 2m, ila kwenye NGOS kuanza na salary scale ya 5m ni kawaida sanaHuko alikokuwa kabla ni wapi? Compare salary gap tuone kama ana hoja
Acha Upotoshaji aiseeSalary scale yao haizidi 2m, ila kwenye NGOS kuanza na salary scale ya 5m ni kawaida sana
Ukishaskia serikalini we unategemea mshahara mkubwa uweje?TAA njaa kali wana scale za government isipokuwa posho za mwezi kama laki 8 haizidi hapo.... Wafanyakazi wengi wanahama ndio maana kutwa wanaajiri watu wapya.
Kwani logic ya mshahara mnono ni ipi ?Ukishaskia serikalini we unategemea mshahara mkubwa uweje?
Na huko marekani unapata wapi nyumba nzima kwa 250,000 kwa mwezi?Kwani logic ya mshahara mnono ni ipi ?
Maana hapa Marekani mwalimu anapata sio chini ya Milion 100 za kitanzania kwa mwaka. Huko bongo mfanyakaz gani wa entry level anaweza make 100 milions per annum ?
Pesa ndogo sana kwa marekani...Huyo hata uwezo wa kumiliki nyumba ya maana hana ,kwa mbali anazidiwa na wabeba box.Kwani logic ya mshahara mnono ni ipi ?
Maana hapa Marekani mwalimu anapata sio chini ya Milion 100 za kitanzania kwa mwaka. Huko bongo mfanyakaz gani wa entry level anaweza make 100 milions per annum ?
XPesa ndogo sana kwa marekani...Huyo hata uwezo wa kumiliki nyumba ya maana hana ,kwa mbali anazidiwa na wabeba box.
Zipo New York kwa MtogoleNa huko marekani unapata wapi nyumba nzima kwa 250,000 kwa mwezi?
Na huko marekani unapata wapi nyumba nzima kwa 250,000 kwa mweziKwani logic ya mshahara mnono ni ipi ?
Maana hapa Marekani mwalimu anapata sio chini ya Milion 100 za kitanzania kwa mwaka. Huko bongo mfanyakaz gani wa entry level anaweza make 100 milions per annum ?
🤣🤣🤣🤣 usinichekeshe embu. Mi mtu. Aniambie anakaa marekani hata sishtuki kwa sasaZipo New York kwa Mtogole
Mu iran akisikia jina Marekani kwanza anafyonya kwq hasira.Na huko marekani unapata wapi nyumba nzima kwa 250,000 kwa mwezi
🤣🤣🤣🤣 usinichekeshe embu. Mi mtu. Aniambie anakaa marekani hata sishtuki kwa sasa
Wanalipwa shiling ngapi kwa saa then tupige hesabu?Hakuna mbeba box anaye make 100 milions.
X