Kweli ?Halmashauri, police, magereza, uhamiaji, wizara kote ni sawa.
Kweli ?Halmashauri, police, magereza, uhamiaji, wizara kote ni sawa.
Uhakika mambo ya ndani ni tgs d na eKweli ?
Huyo ni mtumishi wa elimu gani na miaka mingapi kazini ?Uhakika mambo ya ndani ni tgs d na e
Cheo cha kuanzia, degreeHuyo ni mtumishi wa elimu gani na miaka mingapi kazini ?
Hawa wanaungana na tawa na Tanapa kwani huko degree anakunja ngapi?Ngorongoro wapo vizuri sana ila kuingia ngumu nimejaribu kuomba uhamisho karibu miaka mi5 mpaka leo sijafanikiwa
Na wizara zenye mishahara minono ni zipi bwashee ?Ngorongoro wapo vizuri sana ila kuingia ngumu nimejaribu kuomba uhamisho karibu miaka mi5 mpaka leo sijafanikiwa
Wizara zote mishahara ni sawa kwa degree anaanza na TGS D.Na wizara zenye mishahara minono ni zipi bwashee ?
Wizara zote mishahara yao inalingana ambayo kwa degree anaeanza ni scale ya TGS DKwan wanao ajiriwa office ya wazir mkuu salary zake zikoje
Ulikuwa unaombaje mkuu,, kwa ESS Utumishi..?Ngorongoro wapo vizuri sana ila kuingia ngumu nimejaribu kuomba uhamisho karibu miaka mi5 mpaka leo sijafanikiwa
Kabla hajaja kukujibu, naomba niongeze, ESS ndio kwanza ina miaka 3, so naamini kwenye hiyo miaka 5 sidhan kama alikuwa anatumia ess labda aje atupe maarifa kidogoUlikuwa unaombaje mkuu,, kwa ESS Utumishi..?
Huko nasikia wanafanya kazi kwa kujitolea kwa maslahi mapana na marefu ya taifa la Tanzania.Kwan wanao ajiriwa office ya wazir mkuu salary zake zikoje
Incetives nazo zinalingana ?Wizara zote mishahara yao inalingana ambayo kwa degree anaeanza ni scale ya TGS D
Incetives nazo zinalingana ?Wizara zote mishahara yao inalingana ambayo kwa degree anaeanza ni scale ya TGS D