Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi kabisa1.Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA)
2. Tanzania Communication Regulatory Authority
3.Ngorongoro Conservation Area Authority
4.Tanzania National Parks
5. BOT
6. EWURA
7.WCF
Bado uko sahihi mkuuu... Data zako ni za ukweli8. TRA
9. REA
10. eGA
11. Capital markets and security authority
12. Tpdc
Wapi huko wanalipa hivyoKwa sababu hizo taasisi zinazolipa vizuri ni kwamba take home yao inaanzia 3m+ kwa mtu wa bachelor na 2.5m+ kwa mtu wa diploma.
Hizo taasisi alizozitaja BALENSIAGA hapo juu, ndio malipo yao yako hivyoWapi huko wanalipa hivyo
Kuna Hawa TIRAHizo taasisi alizozitaja BALENSIAGA hapo juu, ndio malipo yao yako hivyo
Watu wa bima haoKuna Hawa TIRA
Wana asali mpaka inamwagikaWatu wa bima hao
Sema kweliWana asali mpaka inamwagika
Noma hao yaan rent allowance tu 700kSema kweli
Chai hiyoNoma hao yaan rent allowance tu 700k
Hivi kati ya tra na Crdb wapi kuna asali nyingi?
Niliwahi kusikia hii, ila TRA watakuwa juu kwa fresh ofisa ii,Mkuu CRDB ni private na pricate sector mnaweza kuwa level moja ila mkalipwa tofauti tofauti. Hivyo basi, inakua ngumu kulinganisha
Njaa tuHivi kati ya tra na Crdb wapi kuna asali nyingi?
Wapi njaa?Njaa tu