Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Kwa sababu hizo taasisi zinazolipa vizuri ni kwamba take home yao inaanzia 3m+ kwa mtu wa bachelor na 2.5m+ kwa mtu wa diploma.
 
Naomba kujua scale za EGA kwa Afisa II..kwenye tangazo waliandika EGASS 5.1..hii ni kiasi
 
Hivi kati ya tra na Crdb wapi kuna asali nyingi?

Mkuu CRDB ni private na pricate sector mnaweza kuwa level moja ila mkalipwa tofauti tofauti. Hivyo basi, inakua ngumu kulinganisha
 
Mkuu CRDB ni private na pricate sector mnaweza kuwa level moja ila mkalipwa tofauti tofauti. Hivyo basi, inakua ngumu kulinganisha
Niliwahi kusikia hii, ila TRA watakuwa juu kwa fresh ofisa ii,
 
Back
Top Bottom