Hawa wanalipwaje MkuuYaani naona kaandika taasisi za umma kasoro moja tu.
Dawasa(water and irrigation)
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wanalipwaje MkuuYaani naona kaandika taasisi za umma kasoro moja tu.
Dawasa(water and irrigation)
Katika degree zote hapa Tanzania degree yenye mshahara mkubwa mkiajiriwa serikalini ni udaktari ndo inaongoza
Kuna Md,Dds,Dvm then wanafuata manesi(bsc nursing) na engineers
Hii ni kwa sabab serikalini scale ya mshahara ya kuanzia huwa wanaangalia degree uliyosoma ni ya miaka mingap
Ndo maana madaktari( Md,Dds na Dvm) ndo huwa wana mshahara Mkubwa kuliko degree zingine kama engineers ambazo ni miaka minne
So kama daktari na engineer wataajiriwa sehem moja kwa wakat mmoja ie halmashauri daktari atakuwa na mshahara mkubwa kidogo kuliko mhandisi
Sent from my iPhone using JamiiForums
What about TISS, JWTZ, UHAMIAJI, IKULU, MAHAKAMA KUU, TBL,
Tbl sio tasisi ya serikali ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuuKwenye blue, nakukumbusha kuwa hata kwenye mashirika ya umma napo ni serikalini. Daktari (MD) aliyesoma miaka mitano anaefanya kazi Temeke Hospitali analipwa 1.48 M wakati Fundi Sanifu wa Dawa (Pharmaceutical Technician) aliyesoma miaka mitatu aliyepo TFDA (then) alikua analipwa 1.2M. hapo hatujui wa juu wanalipwaje. Kwa hiyo hii general statement naona haijakaa sawa.
Kwenye red, hawaangalii tu miaka mingapi uliyosoma, pia kuna cheo. Kama wewe umesoma miaka minne mimi nimesoma mitatu ila wote tuna cheo/position moja, mishahara yetu itakua sawa sawa.
Kwa hiyo tukubaliane kwamba, kuna sehemu hapo serikalini (serikali kuu/serikali za mitaa na mashirika/taasisi za umma), cheo/position, miaka uliyosoma, unyeti wa taaluma n.k zote kwa pamoja zinadetermine nani analipwa nini.
Karibu.
Ngoja wausika waje kujibu
Uko sahihi.. yaan yule office attendant mwenye certificate anapokea 800k ikiwa imeshakatwa[emoji23][emoji23]Kumbe ulifanya kazi Tra saccos, kibarua chako pale Tra saccos kilikoma mwaka gani? nianzie hapo kwanza mana kwa majibu wa maelezo yako bila shaka kwa sasa sio mtumishi wa Tra saccos, ila tu kwa kukusaidia waulize wale maofisa wa Tra saccos kama bado una connection nao scale ya Tras 3/1, Tras 3/2, Tras 4/1 after lawson wanapokea kiasi gani hao ni maofisa wa kawaida sana na highest scale inagotea 12 huko usifike. Na none officers wote naamanisha ma office attendants na nk net salary yao not less than 800k.
1.8Kufikia mwaka 2018,mshahara wa officer anaeanza kazi Tra mwenye degree ulikua 960,000/=. kwa sasa sijui wanalipwaje
Tuwasiliane bossMm nipo na duka la spea na gereji kwa mwezi on average sikosi Tsh. 12M. Naamin nipo juu kuliko hizo taasis ulizotaja.Na hakuna kenge wakunipangia muda wa kuja wala kuondoka kazini
Sent using Jamii Forums mobile app
kama hauvuti bangi tuNaomba kujuzwa kinachofany mtu apande mshahara n nin??chambua kwa kutumia fani/kada husika.....Na kinachoamua waajiriwa wa awamu ya kwanza wasilingane mshahara n nin??au wapate tofauti ya mshahara Ni nin??kwa kada husika
Mtoa mada nikupe tu TAARIFA WATUMISHI wengi NI WATUMISHI wa kawaida wasokua na vyeo
Na mshahara wa MWISHO wa mtumishi wa serikali NI sh 2,727,500/- unless km ana cheo km mkuu wa KITENGO au idara au mkuu wa taasisi msikaririshane Mambo ambayo hayapo na nkupe tu TAARIFA huyo ambaye yupo TRA mwenye degree anaeanza Kazi Hana tofauti na mwenye degree ya maendeleo ya JAMII wa Moshi vijijini
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nimesoma nikaishia tu kushangaa
Nadhani kuna namna tunaishi kwa kukaririshwa sana.
Mleta mada hajajua kuna taasisi zinalipa vizuri hizo alizozitaja hapo zinasubiri..
Mfano mdogo ni CMSA..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu ninachotumia Na haya niliyoandika vina uhusiano gani??au ulizoea ukishavuta bangi unaandikaga upuuzi
Wameacha wizi upi huo unaosema? Halafu hii 2.3 unayotaja ni TRA officer gani huyo kwa hiyo ngazi ya degree? Kuna TRA wanaanzia kazi makao makuu na wengine wanapelekwa huko wilayani sasa hiyo 2.3 unayosema kisa degree sio kweli kachunguze tena utarudisha jibuPamoja nakukosa kwako uadilifu kwakutangaza mishahara ya watu acha nikujibu tu na mimi nikose uadilifu kama wewe.
mshahara wa kuanzia TRA kwa bachelor holder kwasasa ni zaidi ya milioni 2.3 bado alowance nyingine na ndio maana wameacha wizi..
Wameacha wizi upi huo unaosema? Halafu hii 2.3 unayotaja ni TRA officer gani huyo kwa hiyo ngazi ya degree? Kuna TRA wanaanzia kazi makao makuu na wengine wanapelekwa huko wilayani sasa hiyo 2.3 unayosema kisa degree sio kweli kachunguze tena utarudisha jibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tiss je?Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro
3.Ewura
4. WCF
5.TBS
5.TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7.SSRA
8.NSSF/PSSSF
9.BOT
9.Bunge
9.ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10.TASAC
10. TRA
11.MSD
11.TAKUKURU
11. EGA
12.NHIF
13.TPA
13. TIC
14.KADCO
15.TANESCO
16.TANROAD
17.TAA