CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww upo TRA? huo mshahara ndio wanaopokea.. Usipende kubishia vitu usivyovijua.Mimi sijataka kubishana nae sababu kubishana na mbishi ni kujiumiza kichwa..
Tra degree holder wana entrance position ambazo mojawapo ni assistant custom officer, assistant tax officer, etc... hizo nafasi mshahara wake haufiki hata milioni moja gross
Kwa hyo mwenye diploma je?Ww upo TRA? huo mshahara ndio wanaopokea.. Usipende kubishia vitu usivyovijua.
Sent using Jamii Forums mobile app
unajilopokea kwa sababu haujui....mwone kwanza...😕😕😕😕😕😕😕😕😕😕Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro
3.Ewura
4. WCF
5.TBS
5.TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7.SSRA
8.NSSF/PSSSF
9.BOT
9.Bunge
9.ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10.TASAC
10. TRA
11.MSD
11.TAKUKURU
11. EGA
12.NHIF
13.TPA
13. TIC
14.KADCO
15.TANESCO
16.TANROAD
17.TAA
TBL mishahara ya 35 mil ipo kwa waswahili
Kwenye blue, nakukumbusha kuwa hata kwenye mashirika ya umma napo ni serikalini. Daktari (MD) aliyesoma miaka mitano anaefanya kazi Temeke Hospitali analipwa 1.48 M wakati Fundi Sanifu wa Dawa (Pharmaceutical Technician) aliyesoma miaka mitatu aliyepo TFDA (then) alikua analipwa 1.2M. hapo hatujui wa juu wanalipwaje. Kwa hiyo hii general statement naona haijakaa sawa.
Kwenye red, hawaangalii tu miaka mingapi uliyosoma, pia kuna cheo. Kama wewe umesoma miaka minne mimi nimesoma mitatu ila wote tuna cheo/position moja, mishahara yetu itakua sawa sawa.
Kwa hiyo tukubaliane kwamba, kuna sehemu hapo serikalini (serikali kuu/serikali za mitaa na mashirika/taasisi za umma), cheo/position, miaka uliyosoma, unyeti wa taaluma n.k zote kwa pamoja zinadetermine nani analipwa nini.
Karibu.
Hapa naweza nikakubaliana na wwKwa hiyo tukubaliane kwamba, kuna sehemu hapo serikalini (serikali kuu/serikali za mitaa na mashirika/taasisi za umma), cheo/position, miaka uliyosoma, unyeti wa taaluma n.k zote kwa pamoja zinadetermine nani analipwa nini.
Karibu.
Kwenye red, hawaangalii tu miaka mingapi uliyosoma, pia kuna cheo. Kama wewe umesoma miaka minne mimi nimesoma mitatu ila wote tuna cheo/position moja, mishahara yetu itakua sawa sawa.
Karibu.
Asante kwa kutujuzaWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro
3.Ewura
4. WCF
5.TBS
5.TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7.SSRA
8.NSSF/PSSSF
9.BOT
9.Bunge
9.ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10.TASAC
10. TRA
11.MSD
11.TAKUKURU
11. EGA
12.NHIF
13.TPA
13. TIC
14.KADCO
15.TANESCO
16.TANROAD
17.TAA
Hapo ni kwamba hao wawili wote wameajiriwa sehem tofauti tfda ni parastatal organization while temeke ni serikali kuu so automatically huyo pharmacist atakuwa na salary iliyoongezeka kidgKwenye blue, nakukumbusha kuwa hata kwenye mashirika ya umma napo ni serikalini. Daktari (MD) aliyesoma miaka mitano anaefanya kazi Temeke Hospitali analipwa 1.48 M wakati Fundi Sanifu wa Dawa (Pharmaceutical Technician) aliyesoma miaka mitatu aliyepo TFDA (then) alikua analipwa 1.2M. hapo hatujui wa juu wanalipwaje. Kwa hiyo hii general statement naona haijakaa sawa.
Karibu.
TBL hata packaging team leader anakula 4mil+ at the end of the monthTBL mishahara ya 35 mil ipo kwa waswahili
Baki hapo hapoMimi sijataka kubishana nae sababu kubishana na mbishi ni kujiumiza kichwa..
Tra degree holder wana entrance position ambazo mojawapo ni assistant custom officer, assistant tax officer, etc... hizo nafasi mshahara wake haufiki hata milioni moja gross
Nahauwezi kubishana kwasababu haujuiMimi sijataka kubishana nae sababu kubishana na mbishi ni kujiumiza kichwa..
Tra degree holder wana entrance position ambazo mojawapo ni assistant custom officer, assistant tax officer, etc... hizo nafasi mshahara wake haufiki hata milioni moja gross
mkuu nitoe tongotongo niliskia ewura wako vizuri sana kumbe tanapa ndo zaidi?
Binafsi nimesoma nikaishia tu kushangaa
Nadhani kuna namna tunaishi kwa kukaririshwa sana.
Mleta mada hajajua kuna taasisi zinalipa vizuri hizo alizozitaja hapo zinasubiri..
Mfano mdogo ni CMSA..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkui hivi hawa wa procure ama customer service kwa ngazi ya diploma ama degree mshahara unarange ngapi hadi ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada nikupe tu TAARIFA WATUMISHI wengi NI WATUMISHI wa kawaida wasokua na vyeo
Na mshahara wa MWISHO wa mtumishi wa serikali NI sh 2,727,500/- unless km ana cheo km mkuu wa KITENGO au idara au mkuu wa taasisi msikaririshane Mambo ambayo hayapo na nkupe tu TAARIFA huyo ambaye yupo TRA mwenye degree anaeanza Kazi Hana tofauti na mwenye degree ya maendeleo ya JAMII wa Moshi vijijini
Sent using Jamii Forums mobile app