euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,811
- 4,178
Office attendant wa KADCO anakula 1.8M
na ana cheti tu cha o'level
Sent using Jamii Forums mobile app
na ana cheti tu cha o'level
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kama haujui vitu ni bora ukae kimya tu. Office attendant tu wa TRA anachukua 1.1 mil Gross. Ukitaka ushaidi njoo Dm, kuongea vitu ambavyo huna uhakika navyo ni sawa na kujivika ujinga
Ni tasisi gani hiyo?Office attendant wa KADCO anakula 1.8M
na ana cheti tu cha o'level
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro
3.Ewura
4. WCF
5.TBS
5.TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7.SSRA
8.NSSF/PSSSF
9.BOT
9.Bunge
9.ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10.TASAC
10. TRA
11.MSD
11.TAKUKURU
11. EGA
12.NHIF
13.TPA
13. TIC
14.KADCO
15.TANESCO
16.TANROAD
17.TAA
mzitaje taje basi jamaniZipi nyingi Tu Dear.. Hapo nyingi zinabebwa na umaarufu ila kuna Taasisi zina mishahara mizuri kuliko hizo.Na si Maarufu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Muongo huyo!
Anatuuzia chai
CEO wa MSD anakula 20s M kumbe! Yaani anamzidi JAJI kweli?We jamaa Mshamba kweli; Milioni 21 kwa mwezi kwako ni hela ? Unajua kazi ninazofanya?
Mkurugenzi wa MSD Aliyetumbuliwa anapokea 20 M kwa mwezi ; Mbona mishahara ya 20 M ni kawaida hata bongo!
Unajua Range za mishahara ya WHO?
Punguzeni ushamba basi kwa yale msiyoyajua. Unaweza kusikia nalipwa Dola hizo lakini do you know work permit nalipia kiasi gani kila mwaka ?
Yaani katika East Africa Tz ndio taifa Lina watu washamba na wasiokuwa na exposure ya maisha.
Mk54
CEO wa MSD anakula 20s M kumbe! Yaani anamzidi JAJI kweli?
Tatizo sio ushamba, Kenya kuna maCEO wanalipwa million 100+ za Tanzania, unasema million 20 sio hela uko nyuma ya keyboard ha ha sasa ukitaka kujua milioni 20 ni hela au sio hela kwa nchi yetu hii Fanya study ujue ni watumishi wangapi wa umma na binafsi wanapokea 20M kwa mwezi, kwa nchi kama Kenya ni kweli milioni 20 sio hela kubwa sana kwa sababu kuna watu wanakula hadi milioni 500 (including bonus) kwa mwezi,
UN agencies zina hela haina ubishi issue ni je wewe unafanya kazi huko? Au unatuuzia Chai muda upite, na kama uko huko WHO au taasisi yenye maslahi (kwa maana wewe mwenzetu una exposure) unaonaje ukatoa mbinu kwa vijana wenzio ili wafike huko kwenye 'exposure' ?
Hivi kwa mshahara wa tanapa hii TAN 01 salary ndio shilingi ngapi?
Niliajiriwa kampuni moja, nilikuwa nalipwa hela kiduchu tu na degree yangu(600k) take home plus accommodation (nyumba,chakula,umeme, maji)Ni sahihi kabisa. Nimefanya kazi taasisi ya Serikali, Mshahara wangu wa kwanza ulikuwa 1.5K. Take home ilikuwa laki 9. Miaka 3 baadae nikaenda kwenye NGO, nikawa nalipwa 3.8Mil kwa mwezi na safari kila wakati.
Baada ya miaka 3 wazungu hao hao wakatoa Post kwa wanaotaka kufanya kazi nchi za nje. Tukafanya interview tukapita wachache sana mwishowe tukabaki 3 tu.
Wakatupa shavu kufanya internship Uholanzi mwaka mmoja, baada ya hapo tukapelekwa kwenye vituo vya kazi, mimi nikapangiwa Nambia. Salary yangu niliyoanza nayo ilikuwa ni USD 9, 400 plus house and transport allowance.
Je kuna Afisa anayelipwa hivo serikalini ?
Wakurugenzi (DG)wa taasisi tajwa wengi wanacheza kati ya 15M hadi 20 M plus risk ya kutumbuliwa muda wowote kama Nehemia.
Wenzangu niliowaacha Serikali I am sure mpaka leo bado hawajafika salary ya 4M, tena sidhani kabisa maana sijasikia kupanda kwa madaraja wala salary.
Kibaya zaidi taasisi zote kwa sasa wanatakiwa kufuata sheria za Utumishi wa Umma Kwenye kupandisha salary na madaraja.
Tofauti na mwanzo; taasisi kama MSD, NHIF, TPA zilikuwa zinaajiri wenyewe na wanaviwango vyao vya mishahara na madaraja na ndio maana ukienda hizo taasisi unakuta Mkurugenzi, Manager, Afisa Wote wana Masters yaaani wapo sawa; tofauti yao ni aliyekaa muda mwingi ofisini na mwenye performance nzur.
Yaani hupaswi kuwa jeuri maana inawezekana leo nina report kwako but in few years Wewe uta report kwangu na utakuwa chini yangu.
Hakuna watu wana njaa kama watumishi wa umma; na ndio maana wakurugenzi wa hizo taasisi wanaishi kwa ku deal fake na rushwa. Unashangaa Yaani unakamatwa na Takukuru; ili akuachie Wanakuomba Rushwa lol [emoji23] .
Mk54
tanapa wanalipana kiduchu sana. Sema tu wana vi over time sometimes O time inafika 500k.
nenda kama huna ajira ila kama una kazi achana nao
TISS IKO WAPI????Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro
3.Ewura
4. WCF
5.TBS
5.TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7.SSRA
8.NSSF/PSSSF
9.BOT
9.Bunge
9.ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10.TASAC
10. TRA
11.MSD
11.TAKUKURU
11. EGA
12.NHIF
13.TPA
13. TIC
14.KADCO
15.TANESCO
16.TANROAD
17.TAA
unajua unachokisemaaaaa???/Kama bajeti yao tu bungeni haijadiliwi, je mshahara ambao hata teacher wa primary anavyopewa barua ya mkataba wa mshahara huandikiwa ni siri ilhali sote tunajua salary ya mwalimu?
Kule utaambulia posho ya suit au kombati tu
Mshahara wa 8 M ni mkubwa lakini hapo kodi ni 30% (kama sikosei)Niliajiriwa kampuni moja, nilikuwa nalipwa hela kiduchu tu na degree yangu(600k) take home plus accommodation (nyumba,chakula,umeme, maji)
Hiyo sio story wadau!!
Aisee nilikuta kuna jamaa wanavuta mpunga mrefu sana na wengi wabongo tu....Nilibahatika kuwa rafiki na human resources manager alikuwa ananihamasisha sana... Alivunja maadili ya kazi yake na kuniambia mishahara ya wadau nilichoka kuna mbongo tulikuwa naye alikuwa anavuta dola elfu 10.
Huyu boss wangu mwenyewe alikuwa anavuta 8m alikuw na Masters by then na akawa ameomba kupiga PhD. Na hiyo 8m sio kwamba ni mkongwe kazini hapana alikuwa na kama mwaka tu alikuja pale kwenye kampuni akitokea Barrick.
Hatimaye mkataba ulipoisha niliamua kutembea. Kikubwa nilichojifunza kwa boss wangu ili ulipwe vizuri inabidi uwe na qualifications konki, wakati naondoka alinisisitiza sana sana nisome [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu achana na mbumbumbu huyo bajeti zote zibapitishwa na Bunge na wizara yao ni ya Ulinzi na ya Jeshi la kujenga taifa.unajua unachokisemaaaaa?