Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,153
- 2,673
pamojaMkuu achana na mbumbumbu huyo bajeti zote zibapitishwa na Bunge na wizara yao ni ya Ulinzi na ya Jeshi la kujenga taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pamojaMkuu achana na mbumbumbu huyo bajeti zote zibapitishwa na Bunge na wizara yao ni ya Ulinzi na ya Jeshi la kujenga taifa.
Acha uongotanapa wanalipana kiduchu sana. Sema tu wana vi over time sometimes O time inafika 500k.
nenda kama huna ajira ila kama una kazi achana nao
TAN 01 SALARY ndio shilingi ngapi kwa tanapa?
Asee CMSA wako nema jamani, ila kwa sababu wanachokifanya sio core business ya watanzania wengi ndo maana bado haifahamikiBinafsi nimesoma nikaishia tu kushangaa
Nadhani kuna namna tunaishi kwa kukaririshwa sana.
Mleta mada hajajua kuna taasisi zinalipa vizuri hizo alizozitaja hapo zinasubiri..
Mfano mdogo ni CMSA..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wakati mwingine kuufikiria sana mshahara ni kujifunga kengele ya kutokupiga hatua kimaendeleo. You have to venture outside the boxWewe utakuwa mtafuta kazi sio bure na sisi tulikuwa na fikira kama zako hapo kabla.
By the way,nadhani SSRA umisha futwa pia scale za mishahara ya binge in sasa na za Wizara na Halmashauri.
Ndungu,mshahata hata ulipwe million 100 kwa mwezi ni sawa na bure.
Hao hawana kipaumbele kwa nchi hii . . .ndo maana kima Musukuma wnatudharau sana na kusoma kote
Ni kweli kabisaUsiendelee kubishana nae.
Unaweza ukawa nurse amana hospital ila ukalipwa tofauti sana na taasisi kama ya saratani ocean road.
Sent using Jamii Forums mobile app
Choma Mbuzi Supu Amna
TPA
TRA
TANESCO
nimewaprocessia mikopo sana hao kipindi nafanya kazi bank flani mshahara wao wakawaida tu
kweli kabisa mfano tanesco hamna kitu njaa tuTPA
TRA
TANESCO
nimewaprocessia mikopo sana hao kipindi nafanya kazi bank flani mshahara wao wakawaida tu msikalili
Enzi za mwalimu walikuwa na posho sio sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani naona kaandika taasisi za umma kasoro moja tu.
Dawasa(water and irrigation)
Ila kote huko bado watu wanakimbia kuwa mishahara finyu sasa ukweli wa wao na na ulichoongea wewe nan yupo sahihi?Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro...
Mfano mzuri ni EWURA.Mzee hili suala LA mishahahara lina siri kubwa sana kuna baadhi ya vitaasisi havina majina makubwa lakin watu wanatusumbua mjini hapa wanakula misharaha sio haba pengine tofauti na baadhi ya taasisi kubwa ulizozitaja hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao CMSA ni mamlaka ya mitaji na dhamana waliosomea finance wanajua nini naongeaAsee CMSA wako nema jamani, ila kwa sababu wanachokifanya sio core business ya watanzania wengi ndo maana bado haifahamiki