Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Jamani mwenye connection ya udereva kwenye taasisi zenu mtutupie na sisi wakuu mtaani kumebana sana wakuu. Doh, hatari sana...!
 
Binafsi nimesoma nikaishia tu kushangaa
Nadhani kuna namna tunaishi kwa kukaririshwa sana.
Mleta mada hajajua kuna taasisi zinalipa vizuri hizo alizozitaja hapo zinasubiri..
Mfano mdogo ni CMSA..


Sent using Jamii Forums mobile app
Asee CMSA wako nema jamani, ila kwa sababu wanachokifanya sio core business ya watanzania wengi ndo maana bado haifahamiki
 
Wewe utakuwa mtafuta kazi sio bure na sisi tulikuwa na fikira kama zako hapo kabla.
By the way,nadhani SSRA umisha futwa pia scale za mishahara ya binge in sasa na za Wizara na Halmashauri.
Ndungu,mshahata hata ulipwe million 100 kwa mwezi ni sawa na bure.
Ila wakati mwingine kuufikiria sana mshahara ni kujifunga kengele ya kutokupiga hatua kimaendeleo. You have to venture outside the box
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro...
Ila kote huko bado watu wanakimbia kuwa mishahara finyu sasa ukweli wa wao na na ulichoongea wewe nan yupo sahihi?
 
Back
Top Bottom