Fizoujr
Member
- Mar 21, 2020
- 27
- 31
Duh Shirika Gani hilo mkuuWakati kwenye mashirika ya umma take-home entry level ni 2m+ bila posho
Duh Shirika Gani hilo mkuuWakati kwenye mashirika ya umma take-home entry level ni 2m+ bila posho
Mbona mengi tu,Duh Shirika Gani hilo mkuu
sahihiWakati kwenye mashirika ya umma take-home entry level ni 2m+ bila posho
Hazitabiriki anaweza akakunja hata 30 m per monthChawa nao
Hamna kitu, njaa tupuJW wako vzur kuanzia askari wa kawaida mpk officers
Ndo mnavodanganyana vijiweniHamna kitu, njaa tupu
Njaa tupu hamna michongo ya kuingiza hela kama idara za ARDHI, mipangomiji, tra,bandari,TBS, OSHA etcNdo mnavodanganyana vijiweni
Wana madeni kila konaNjaa tupu hamna michongo ya kuingiza hela kama idara za ARDHI, mipangomiji, tra,bandari,TBS, OSHA etc
Usiangalie mshahara, angalia package ya allowancehiyo TAKUKURU mbn mshahara wa kawaida
Allowance zao zipo vipi tusije? kujichanganyaUsiangalie mshahara, angalia package ya allowance
Wewe na wenzio ndio mnadanganyana VijiweniNdo mnavodanganyana vijiweni
NPS wakoje mkuuOfisi ya Wakili Mkuu wa serikali, mishahara kiduchu Ila posho mara4 ya mshahara, Posho ya extra duty 1 ni zaidi mshahara wa wa afisa wa halmashauri
Vizuri sana allowances zao za kumwaga extrduty, housing, communicationNPS wakoje mkuu
Saw hivi kati ya nps na ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali wapi pazuri zaidiVizuri sana allowances zao za kumwaga extrduty, housing, communication