Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

11. NGORONGORO
12. TANAPA(Pamoja na nduguze wanaodili na maliasili)
13. STAMICO je....?
14. TANESCO (wazee wa kutulaza gizani kama mende)
15. TAA je...?
16.
TENESCO na TAA wanafanana kwa karibu...TAA wanaposho za mwezi kuanzia 600k -800k ila mashahara hawana maajabu senior analamaba 2.2 Mil.

Safari hawana , training hawana kwa sana
 
Uhamiaji kumbe pa kikuda tu. Kutoka X wakili madereka ameandika mishahara mitatu ya mkewe ni 3.5m na kidogo akiwa na nyota tatu!

Ni kama 1.25 m Kwa mwezi. Kwa mwaka 2019....... Mwaka 2022 iliongezeka kama 50 tu!!!!
 
Ama kweli duniani Kuna watu mna ishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…