Hizi ndio timu 10 ambazo zimekuwa confirmed zitashiriki Super League Msimu 2023

Hebu toa hilo kimba
 
Babra amesimba Simba wamepata mwaliko lakini watakaa chini na kuangalia kama watashiriki au hawatashiriki.
 
Unatia aibu utopolo Kwa kukurupuka

Ona umeutelekeza Uzi[emoji28][emoji28]
 
Kiukweli hizi level ambazo Simba yupo kimataifa huwa zinaitesa sana yanga,tupambane tuwafikie
 
simama jipige kifuani sema mimi ni lofa, sina akili, mimi ni utopolo.
 
Hapa utopolo wanataman mmoja akose vigezo kama nguvu ya kipesa ili yajichomeke ila wapiiiii zotd hapo naona zina kidari cha kutosha
 
Hii nyani haitokaa iusahau huu uzi,pigwa mno
 
adriz liked your comment with ahahahah😅😅😅

Pole Sana mtani Kwa kutokuwepo ktk list..pambana uwe mkubwa Kama Simba😅
 
Mmekuwa wapiga rsmli maarufu siku hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…