TheGreatest Of AllTime
JF-Expert Member
- Mar 14, 2025
- 207
- 679
Pole yao, wakajipange upya kwa msimu ujao tena
Wanaenda kujiandaa na vita ya machoko Israel
Turkiye...Turkey
Mafala tu hao wameshindwa kutawala mechi dhidi yakiungo cha Congo afu lawama zote kwambuzi pumbavu zaoMbuzi anatuchelewesha ureno kunyanyua kwapa🤔
View attachment 3611547
Uturuki wana vita gani na Putin?Heeeehh!Ndani ya hiyo Vita na Putin halafu ni Full Shangwe?!!!