Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,250
Mkuu hv ngono inaingiliana vipi na hz nyumba?hebu tuambie tujueWabongo kwa kupenda ngono najua hii thread itapata viewers wengi wakitegemea kuona mambo yetu yalee..😀😀😀
mkuu mbona kama unanisema mimiWabongo kwa kupenda ngono najua hii thread itapata viewers wengi wakitegemea kuona mambo yetu yalee..😀😀😀
Ulijua nini..?Duuuuh
Ni kweli kbs hizo ndo picha za x zinazosisimua mno maana kama ni nyumba yako unaweza hata kuzimia! Hatari sana
Ulijua nini?Aaah kumbe ni nyumba[emoji125] [emoji125]
Wengi walijua ni mambo yetu yalee na wakamiminika kwa fujo kweli!Ulijua nini?
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekuja speed kweli.
Hapana niliweka top ten ya mambo yetu ila jamaa wameondoa [emoji4] [emoji4] [emoji2]Aaah kumbe ni nyumba[emoji125] [emoji125]
Hiyo mkuu kifo cha pressure nje nje.iyo picha ya × ya kwanza[emoji27]
moyo lazima ubadilishe mapigo kama si kusimama kabisa.