Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,250
- Thread starter
- #21
Kabisa kabisa mkuu.Ni kweli kbs hizo ndo picha za x zinazosisimua mno maana kama ni nyumba yako unaweza hata kuzimia! Hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kabisa mkuu.Ni kweli kbs hizo ndo picha za x zinazosisimua mno maana kama ni nyumba yako unaweza hata kuzimia! Hatari sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Point load kanifurahisha
Haswa kama umejenga kwa mkopo ndiyo balaa zaidi.Hatareeeh! Ndo unarud zako toka job afu unakuta tukio kama hilo om kwako walahi nazimaaaaah!
Mkuu acha! Jamaa walijua ni orodha kutoka Xvideo....Nchi ngumu hii [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wabongo kwa kupenda ngono najua hii thread itapata viewers wengi wakitegemea kuona mambo yetu yalee..😀😀😀
Hakika nimewanasa wengi [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mmmmhhh lugha gongana..
Una wenzako wengi usijisikie unyonge [emoji28] [emoji28] [emoji28]mkuu mbona kama unanisema mimi
Hatari sanaDuuh....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji86] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kazwala mkuu kwakweli hicho kichwa cha habari umetupata wengi nimekuja fasta nikajua mambo yetu yaleeeeee
Pole kiongozi kumbe na wewe ulijua mambo yetu sio😀😀😀mkuu mbona kama unanisema mimi
Inaonekana na wewe ulikuwa unajua mambo yetu sio??😀😀Point load kanifurahisha
Baadaye basi usisahau kuninong'oneza PM kama na wewe ni mdau ili tujuane kabisaa😀😀Akuuuuuuh
Wewe wa kwanza mkuu uliwaza hilo hilo[emoji3] [emoji3]Wabongo kwa kupenda ngono najua hii thread itapata viewers wengi wakitegemea kuona mambo yetu yalee..😀😀😀
Haaaaaah haaaaaaaaaWengi walijua ni mambo yetu yalee na wakamiminika kwa fujo kweli!