Hizi ndiyo picha za X zinazo sisimua zaidi

Hizi ndiyo picha za X zinazo sisimua zaidi

Shenzz type, nimechomoa simu kwenye chajio kwaajili ya kufungua huu Uzi kumbe × yenyewe ndo hii @£%&-%%
 
We mwana taratibuuuu eeee, nilishafunga na mlango ili niangalie vizuri hizo x
 
dah!! mleta uzi acha ukuda!! na kuandaa kote mazingira kumbe ni x za nyumba!! hauko serious kiongozi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimekakimbilia kukafungua ili nipatemo ka stiimu ka asubuhi, kumbe ni picha ya li gonjwa la moyo
 
Back
Top Bottom