Hizi ndiyo sababu kuntu zinazonifanya niamini kuwa Al Ahly lazima adondoshe point 3 muhimu mbele ya Yanga SC

Mimi Yanga mwenzio .
Nikajua unaleta analysis serious lakin umeamua kuleta ya KINAZI.

Ulipomtaja Gift Mauya nikaishia hapo kusoma.
HIVI UNAMJUA GIFT MAUYA WEWE

AU KWA KUA HAPEWI NAFASI UNAMCHUKULIA SIMPLE SIMPLE.
 
HIVI UNAMJUA GIFT MAUYA WEWE

AU KWA KUA HAPEWI NAFASI UNAMCHUKULIA SIMPLE SIMPLE.
Me mwenyewe ni mwananchi lialia lakini mauya hamna kitu mule.
Ukiangalia hata game na Ihefu yeye ndio alie zingua pale kati.

Nalishauri benchi la ufundi liamuangalie kwa makini huyu jamaa (Mauya) ikibidi msimu ujao ampishe Yusuph kagoma pale kati.
 
HAYA MATAHIRA YA JAMII FORUM YANANIBOA SANA.

NI WAKATI SASA WA KUWTAFUTA BUTTON YA K U I G N O R E.
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
CHEKA SANA ANGALIA USIJE ULAJAMBA
 
Vipi idara ya ushambuliaji mbona hautaji
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Huna tofaut na wale wanaoigilizia mitihani hadi jina...we uliona game na kudhan ni warahisi ki hivyo?ngoja mkutane alafu uje uandikw ushuzi ulioleta hapa...hapa usitumie kipimo Cha Simba na kujiona kuwa unawamudu Hawa waarabu...mkikaa vibaya hata hamsa mtakula mkiwa nyumban...wao wanacheza mpira wa malengo tofaut na nyie mnaotaka kuwafurahisha mashabik
 
TUKUTANE KWA MKAPA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…