Hizi ndiyo sababu kuntu zinazonifanya niamini kuwa Al Ahly lazima adondoshe point 3 muhimu mbele ya Yanga SC

Jifunzeni wa Arsenal wamepiga mtu goli 6 ila wapo kimya sana.

Sasa nyie majuha kila siku kila saa mnakenua meno na kubwabwaja eti alifunga tano kwa moja [emoji23][emoji23]

Nikukumbushe tu NBC league ina waamuzi ndezi, ila huko CAF hakunaga bahasha wala magoli ya offsides.

Kazi mnayo [emoji23]
TUKUTANE KWA MKAPA
 
1/ Benchi la ufundi makini kuanzia kocha mpaka kocha msaidizi na makocha wanaoshughulika na kuweka fit miili ya wachezaji.

2/ Viongozi wa Yanga SC kuanzia Rais mpaka Makamo hatua ya kufika Fainali katika Kombe la Shirikisho ni somo tosha kwa viongozi, nadhani wamejifunza mengi nje ya uwanja mpaka ndani ya uwanja.

3/wachezaji wenye uzoefu mkubwa (experience)

- Kipa hapa kuna Diara mdaka mishale a.k.a screen protector, sina mashaka nae ni kipa Bora kabisa katika Ligi yetu hii hadi East Africa.

- Viungo Wakabaji (Aucho, Mudathri, Sureboy, Gift Mauya ) kila ninapotazama clip za YouTube jinsi Waarabu wa Tunisia wavyopata tabu naondoa mashaka kabisa nakuona kuwa Al Ahly lazima adondoshe point.

- Mabeki wa pembeni (Yao, lomalosa, nk.) hakika ni miamba kabisa, sioni Yanga SC wakipoteza point kwenye uwanja wa nyumbani.

- Viungo washambuliaji (Aziz Ki, Pakome, Max nzengel)

Sina mashaka na uwezo wao, Al Ahly waje ni ngumu kwa Yanga SC kupoteza point tatu muhimu kwenye uwanja wa nyumbani.

NB: Habari zenu tunazo kuwa Mama hajawapa hata mia mbovu maana mmefunga lakini hamjashinda mechi.
Al
 
A
 
Al ahly technical benchi lina watu 32 ndio team yenye staff wengi Africa.
 
Back
Top Bottom