NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Mpira ni mchezo wa wazi usiokuwa na kificho na wala hauchezwi chumbani hapana Bali ni hadharani kila mtu atashudia.
NALIA NGWENA naweka pembeni ushabiki na ninataandika hapa bila ya kupepesa macho kuwa Ayubu FC watakoga magoli mengi kwa sababu hizi.
A/ Al ahly imekamilika kila idara na Wana experience dhidi ya michezo ya kimataifa na ndiyo maana kocha wa Al ahly alisema "hawaihofii Ayub FC Bali wanaihofia Mamelod"
Kwa kauli Kama hizi na ukitazama michezo mitano ya nyuma Al ahly kafanya vizuri sana pasipo kuruhusu magoli Kama Ayubu FC.
B/ Marefa wenye uweledi na michezo ya kimataifa, Ayubu FC wasitegemee/wasidhani watakutana na marefa wapuuzi watakao wabeba Kama walivyozoea kubebwa katika ligi Yao.
Kwa kuwepo kwa marefa weledi tusitegemee penati, off side za michongo Kama ilivyozoeleka.
C/ Uwanja haujachimbwa na makomandoo wa Ayubu FC wamezuiliwa kulinda uwanja Kama wafanyavyo katika kuchimbia ulozi.
Kuna taarifa nimezipata za ndani kabisa makomandoo wametupiliwa mbali katika kulinda uwanja hayo ni maagizo Kutoka kwa maaofisa wa CAF.
Hakuna janja janja walizofanikiwa Ayubu FC mpaka Sasa ili wabahatishe hata goli moja.
D/Mabeki wabovu na Makipa wa Ayubu FC hakuna hata mwenye afadhari.
Kuna fununu kesho Kipa Manula anaweza kuanza kwenye kikosi Cha kwanza lakini kiuhalisia Hana match fitness yoyote endapo ataanza Ayubu FC tegemeeni kugawana magoli.
Ukuta wa Yericko kesho kazi wanayo na ndiyo Ukuta utakao ruhusu magoli mengi katika hii ligi.
NB: Al ahly siyo power dynamo kwa hiyo hakuna goli la ndondokela kwamba John Bocco atapiga pass kwa beki halafu beki atajifunga.