Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Mambo yanayotekea kwenye nchi kubwa na yenye wasomi wengi kama Nigeria usingetaraji kuyasikia kama nchi hiyo isingekuwa Afrika.
Watu wamelalamikia tu kuuliwa na kuteswa na kikosi maalum kinachoitwa SARS basi ndio wameuliwa zaidi kuliko mwanzo.Nguvu zilizotumika kupambana na raia hazijawahi kutumika kuwamaliza Boko Haram.
Kuona hivyo raia wameingia mitaani kupora mali wanazoona zinawafaa.Wakagundua kuna maghala makubwa yenye bidhaa nyingi ambazo ati zimehifadhiwa kwa ajili wa waathirika wa corona.Watu wanatafuta chakula leo wewe unahifadhi chakula kusubiri ugonjwa wa corona uje.
Mmoja ya raia hao aliyepiga kambi mbele ya kituo cha polisi alisema yeye hataondoka hapo mpaka apewe chakula.Akasema ana jirani yake ambaye alifukuzwa kazi kutokana na corona akiwa mlinzi kwenye taasisi ya kiserikali na mpaka leo yuko nyumbani."Mpatieni mchele na maharagwe....".Mkazi mwengine wa Lagos akiwa amebeba paketi za tambi alizochukuwa kutoka ghala moja lililovunjwa alisema alichonacho mkononi mwake ni haki yake
“The food items belong to Nigerians. Why are they hiding them? This is wickedness. How do you hide food from hungry people?” asked Ibironke Babalola, a resident of Nigeria’s commercial capital, Lagos.
Abuja residents like Sunday Chukwu say they didn't receive any government assistance during lockdowns.
"They didn't share anything here," said Chukwu. "Maybe they shared for themselves. But they didn't share for everybody and these ones now they are hiding it so that people may leave it, they'll now gather them, they'll be selling it to the people."