Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Kiba hana Album ambayo ime uploadiwa Spotify maybe hii inayotarajiwa kutoka mwaka huuVipi kuhusu kiba??
Ofcoz ila wabongo wengi ndo DJ MWANGA free of charge kutumia payment service ni ngumu sanaKama hivi inabidi wa Tz wengi washawishiwe kutumia Spotify na Apple music maana tz tupo wengi sana sema watumiaji wa streaming services wenye subscription ni wachache.
Tuukiwa watumiaji wengi tutaboost wasanii wetu
Wabongo wamejazana boomplay tuHizi Ndizo Albums Pamoja Na EP's Zilizo Sikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify
1. Diamond Platnumz – A Boy From Tandale (2018) 30M
2. Rayvanny – The Sound From Africa (2021) 24M
3. Navy Kenzo – Story Of The African Mob (2020) 3M
4. Mbosso – Definition Of Love (2021) 2.9M
5. Vanessa Mdee – Money Mondays (2018) 2.6M
6. Jux - The Love Album (2020) 2.2M
7. Nandy –African Princess (2018) – 1.3M
8. Zuchu –I am Zuchu (2020) – 1.15M
9. Harmonize – AfroEast (2020) – 1.12
10. Rayvanny – Flowers EP (2020) 1.11M
NB:Tanzania Spotify wanalipa Streaming Million 1 kwa $7000
Cc #chartdata
Mdomo mwingi tumejaaliwa ila vitendo sifuri....Ofcoz ila wabongo wengi ndo DJ MWANGA free of charge kutumia payment service ni ngumu sana
Kama hivi inabidi wa Tz wengi washawishiwe kutumia Spotify na Apple music maana tz tupo wengi sana sema watumiaji wa streaming services wenye subscription ni wachache.
Tuukiwa watumiaji wengi tutaboost wasanii wetu