Hizi ndizo bei mpya za vifurushi vya Azam TV

Hizi ndizo bei mpya za vifurushi vya Azam TV

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Nimepataa dondoo kuhusu bei mpya ambazo zitakuja kutangazwa siku chache zijazo na kampuni ya AzamTv.

Kwasasa kuwaona akina Pacome au akina Debora na Fei Toto ubaoni ni Sh 28,000/=

Ndio kifurushi cha Azam Plus kimepanda kutoka 25,000 mpaka 28,000. Sawa na ongezeko la 3,000/=
Ubaya Ubwela tu
9bc9e0f5-3fd4-4eef-a361-037c7f63dc44.jpeg
 
Ingekuwa ongezeko hilo linaendana na ubora may be wa channel ingekuwa sawa ila kwa hali ilivyo ni kuwaibia watu tu hakuna cha maana Azam channel za hovyo hazivutii

Kama ndiyo mtu wa mpira kipindi kama hiki utaona Azam kama uchafu hakuna channel nzuri ya kuangalia
 
Sasa kila siku mnafurahia tu kuona maboresho yanayofanyika, picha safi, vifaa vya kisasa, mnategemea nini?? Ki ukweli kwa sasa kwa ving'amuzi vya ndani ndio anayeongoza kwa ubora, wa maudhui na picha!!
 
Back
Top Bottom