Hizi ndizo bei mpya za vifurushi vya Azam TV

Hizi ndizo bei mpya za vifurushi vya Azam TV

Washajiona DSTV Sasa na ma filamu yao ya kibongo ambayo wamekariri maneno kama wanaimba mashairi, na ku act kijijini huku wamepaka make up
 
Kifurushi kinauzwa elfu 12,500 mpaka 13,500 kwa mwezi inategemea na kupanda na kushuka kwa Shilingi ya Kenya na unacheki Azam Sports 1, 2, 3 na 4.

Nishaagiza kutokea boda ya Isebania / Sirari kimepakiwa kwenye gari kinakuja nilipo nafikiri ntakipata keshokutwa.
Na namna ya kulipia je? Kwa safaricom ama?
 
Back
Top Bottom