Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Huko bei ni sh ngapi mkongwe!?Ninunue sasa king’amuzi cha Azam cha Malawi au Kenya, maana huko bei mteremko sana
Wakipandisha nitakulipia...usijali mummyNilipie mapema siwezi kuikosa Simba day walai...
Unataka umuone Debora sio?Nilipie mapema siwezi kuikosa Simba day walai...
Hili zee linaonekana linapaa na ungo usiku😂😂
Sasa kila siku mnafurahia tu kuona maboresho yanayofanyika, picha safi, vifaa vya kisasa, mnategemea nini?? Ki ukweli kwa sasa kwa ving'amuzi vya ndani ndio anayeongoza kwa ubora, wa maudhui na picha!!Ingekuwa ongezeko hilo linaendana na ubora may be wa channel ingekuwa sawa ila kwa hali ilivyo ni kuwaibia watu tu hakuna cha maana Azam channel za hovyo hazivutii
Kama ndiyo mtu wa mpira kipindi kama hiki utaona Azam kama uchafu hakuna channel nzuri ya kuangalia