Hizi ndizo couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto ikiwemo couple ya Zuchu

Ila Domo na hamisa hapana
Haijawahi noga,sbb ya zari πŸ˜…
 
Sidhani..kama Hamisa alikuwa nae kabla ya wote mbona hajawahi ku declare koloni hadharani[emoji1787][emoji1787]wote wanapita wanamuacha backstage
Hamisa alikuwΓ  na Diamond kipindi wote wanajitafuta kutoka.

Hamisa ninamfahamu tangu kitambo hicho anasoma shule ya msingi Muungano iliyopo temeke mkabala na msikiti wa tungi

Na hata basha wake Salehe aliyekuwa naye kipindi anasoma shule ya sekondari tandika kipindi hicho hamisa anataniwa kitunda Cha ubuyu kutokana na kikomwe chake 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Namjua Hamisa kabla hajawa miss wilaya ya temeke ingali bado anasoma kidato chapili tandika.

Niliwahi kuleta umbea wa Hamisa humu kuhusu yeye na Salehe tena kipindi hicho Salehe bado anasoma NIT mpaka nikaonekana jau.

Salehe alinitafuta bro unachofanya sio sahihi nk nikaomba moderators waufute ule Uzi maana niliandika mengi sana ukitaka ushahidi nitakutumia PM.

So ninamfahamu mengi umbea mwingine naamuaga tu kuvunga mambo yasiwe mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…