Hizi ndizo couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto ikiwemo couple ya Zuchu

Shida Zuchu hajulikani kama ni mwanaume au mwanamke…Maziwa hana ,tako hana yani ……,,,,,



Kuna wanaume wengine hawajali hayo [emoji108]

Kwani uzuri wa mwanamke uko kwenye hayo tu ?

Wengine wanapenda ile portability,

Pengine ni mtamu ako na joto lisilo kawaida.

Pengine anajua kunyenyekea hata Nasibu akikasilika na kumfokea .

Hata ikitokea Mwanaume ndiye mkosaji Zuchu anajua kutumia hekima kumaliza tofauti zao bila kutaka kuonesha mashindano na mwanaume.

N.k
 
Shida Zuchu hajulikani kama ni mwanaume au mwanamke…Maziwa hana ,tako hana yani ……,,,,,



Hapa wanawake wanapasa kujifunza kitu.

Mwanaume sio kumletea jeuri na mashindano yasiyo na maana.

Mwanaume anapenda kusikilizwa na kuchekewa na sio kuletea nyodo.
 
Diamond na Hawa nitarejea.
 
KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI
 
Chai
 
Tafuteni hela mle wadada wa mujini ...
 
Ukiamua kufanya uzinzi fanya kwelikweli. Kwenye tasnia ya uzinzi tayari Diamond kathibitisha ana wito maalum. Ni tasnia anayoipigania kila kukicha. Diamond ni icon ya uzinzi nchini. Karibu kila mtu alishawahi kuwa mzinzi ila kuwa na serious relationship ni wachache kama Diamond.
 
Hivi inawezekanaje mwanaume ufahamu haya yote?

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…